Tuiondoe kama ghadafi na mubaraka walivong'olewa na NA TO, hapo ndo unyama, mataifa ya nje yatusaidieTUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani.
Kwa muundo wa CCM ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate.
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelea kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Ila ccm haipo tena madarakani ujue limebaki kina tuuTUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani.
Kwa muundo wa CCM ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate.
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelea kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Ipo madarakani kwa nguvu ya mtutu.Ila com haipo tena madarakani ujue limebaki kina tuu
Sawa ila itachukua muda mrefu.CCM itaanguka yenyewe kwa sababu ya incompetence ya watawala wake
Inaweza kuchukua muda mfupi pia, inawezekana tukapata Moi wetu ndani ya CCM atakayesema enough is enough kama inabidi chama kufa ili kuokoa nchi basi na iwe hivyo.Sawa ila itachukua muda mrefu.
ccm ina mizizi mizito sana huezi kuitoa bila support ya wanaoshikilia mizizi, ccm itakufa pale watakapogombana wenyeweEffective way ni MAANDAMANO.
Kuwe na maandamano yasiyo na kikomo, ila awamu hii yaboreshwe kwa namna hii.
Popote ilipo familia ya askari polisi, mwana ccm na wanufaika wote wa serikali basi na familia zao.
Sasa hii itakuja na impact mbili.
1. Vyombo vya ulinzi na usalama kuungana na raia kudai mabadiliko.
2. Vyombo hivyo kukosa utii kwa serikali kwa kuhofia kupotezwa kwa maisha yao na maisha ya familia zao.
Hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya serikali, pasipo polisi/jeshi hawawezi kuhodhi dora.
anza kususaNi kupambana nayo kiuchumi tukiamua tutaweza tunaweza kususia mambo yote yanayowapa nguvu kiuchumi, kususia habari zao na hata kuwasusia wao wenyewe kama waliua ndugu zetu ili watawale kwa nguvu sio watu wa kushirikiana nao.
tunaweza kuhamasishana tukasusia kutumia vinywaji mwezi mzima wakose mapato ya kodi wanayowapa posho polisi na wanajeshi.
mtu akikosa vinywaji hawezi kufa.