Unashauri tuendelee kusubiri hatima ya ICC, ila huwa ina mchakato mrefu lkn ya uhakika.Kuna njia moja tu tena rahisi mno ya kuwaondoa hawa wadhalimu madarakani nayo ni kwa ICC kung'oka na Samia, Osman, Mombo, Abdul na Wambura.
Kisha wazuiliwe huko The Hague wakati wa "Trial Chamber Summons" huku maandamano ya kudai serikali ya mpito yakifanyika nchini kote.
Wakati wa maandamano ya kudai serikali ya mpito lazima kutakuwa na shinikizo kali la kimataifa kutoka kwa akina Trump na hakuna askari atakaye fyatua hata risasi moja na ndio utakuwa mwisho wa ccm, vikaragosi na machawa wao kuwa madarakani.
Watanzania, CCM haiwezi kwa njia yoyote ile mbadala kutoka madarakani. Hata ukiwatendea wema kiasi gani. Ni kuwa kila njia imetumika kutafuta kuridhiana lakini wao hugeuka baada ya kuona kuwa wametimiza lengo lao. Ni kua CCM ni wahuni, wanakuonyesha njia ya kuridhiana ukikubali baadaye wao wenyewe wanaruka. Ni ujanja ujanja mtupu, na hii tabia lazima wamejifunza kwenye siasa za kikomunisti-hasa China na Russia.Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
This is the one and only way ila siasa ni Sayansi, hata tukipata katiba mpya nzuri, ili CCM iondoshwe ni lazima kwanza kipatikane chama mbadala wa kuipumzisha CCM, kitu ambacho Tanzania bado hatuna any serious and credible opposition to check out CCM.Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
This is true , kwa Katiba cii ambayo ni ya CCM, CCM sio tu ni chama tawala, ni chama Dola! na hili tumelisema sana humu!,Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
PascalThis is the one and only way ila siasa ni Sayansi, hata tukipata katiba mpya nzuri, ili CCM iondoshwe ni lazima kwanza kipatikane chama mbadala wa kuipumzisha CCM, kitu ambacho Tanzania bado hatuna any serious and credible opposition to check out CCM.
This is true na tumesema sana humu
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
- Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
- CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
Na itatolewa kwa nguvu ya mtutu sio comments za online media.Ipo madarakani kwa nguvu ya mtutu.
Mind you, communication matters.Na itatolewa kwa nguvu ya mtutu sio comments za online media.
Umegusia mengi, Maridhiano yameshindikana CCM ni wajanja, uthubutu kama wa MO29, consequences kama kuwemo ISIS, je wewe unashauri nini sasa kifanyike.Watanzania, CCM haiwezi kwa njia yoyote ile mbadala kutoka madarakani. Hata ukiwatendea wema kiasi gani. Ni kuwa kila njia imetumika kutafuta kuridhiana lakini wao hugeuka baada ya kuona kuwa wametimiza lengo lao. Ni kua CCM ni wahuni, wanakuonyesha njia ya kuridhiana ukikubali baadaye wao wenyewe wanaruka. Ni ujanja ujanja mtupu, na hii tabia lazima wamejifunza kwenye siasa za kikomunisti-hasa China na Russia.
Angalia jana kule Nkasi, Chadema wanapanda miti wao wakatuma Polisi kufanya fujo, na hapo wanaonyesha kuwa anayeweza kufanya kitu awe CCM, mwingine hawezi kujichukulia ujiko huo.
Kila njia upinzani utakachofanya hawawezi kukubaliana, na polisi wapo nyuma yao. Wanashikilia Media, Polisi na Jeshi, Bank Kuu ni kama yao kwa hiyo atakayebisha anaondolewa kwenye payroll. Wote hawa wanaotekeleza shughuli za CCM kunyanyasa watu, kuteka na kuua wapo kwenye payroll, huwezi kuwaondolea huu ugali. Mbadala ni kwa wapinzani kuja na njia kama hizo hizo, wawe na pesa, media, polisi na jeshi. Kwa hiyo hapo nchi haiwezi kutawalika.
Hamna solution moja kama wengi mnavyofikiri. Kumtoa Kaburu kulikuwa na vikundi vingi kule Africa Kusini kama ANC, PAC, AZANIA, na hata Angola na Mozambique. Kuna wale walioamini vita, na kuna wale walioamini mazungumzo, na wale walioamini uchawa kama Bhutelezi. Lengo linakua kumtoa CCM, lakini lazima kukubaliana consequences, je mkimtoa CCM amani itakuwapo kuunganisha itikadi tofauti, kwa mfano watu kama ISIS wakiwamo. Kwa wale wenye moyo na roho ngumu huu ndiyo mbadala. Wanasemaje, hata shujaa ni mwoga, lakini anakua mthubutu. Waliokufa kwenye maandamano walithubutu. CCM ni waoga sana lakini wanatisha na tunatishika, wanatuteka na kutuua.
CCM ni Cancer
Kuungana vyama vya upinzani ni mzaha maana kwa sasa chama halisi cha upinzani ni kimoja tu, vingine ni vya ccm.Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Kuwaombea njaa!Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
1.Vijana waliotayari wawezeshwe silaha na mafunzo Kwa ajili ya kujibu mapigo ya Polisi wa CCMKwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Rwanda inaweza kutusaidia kabisa !!Kumbuka Kagame anamchukia sana Kikwete na anachukia sana JWTZ .Sawa, unadhani ni nchi gani ya Afrika inaweza kutusaidia, au unalenga mataifa ya ulaya na Marekani.
ICC uwezekano ni mdogo mpka sasa ,Serikali na Samia wamejiandaa kwa hayaUnashauri tuendelee kusubiri hatima ya ICC, ila huwa ina mchakato mrefu lkn ya uhakika.
Uiondoe CCM madarakani halafu uweke chama gani?Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa?
Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How.
Je, tu-push foreign intervention?
Je, tuviache vyama vya upinzani vilivyopo viendelee kupambana na CCM au tuvishauri viungane.
Je, tuendelee kusubiri ICC ije na resolution yake.
Je, na sisi wananchi tutafute PR itakayokwenda UN, US, EU kufanya lobbying ili ku-push malalamiko yetu.
Au tutumie teknolojia ya kiafrika, Mshana Jr.
Yote tutakayojadli yalenge kuiondoa CCM madarakani iwe kwa heri au kwa shari, Sababu kuu ni taifa kukosa mwelekeo wa KIJAMII na KIUCHUMI kwa miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM.
Kama tukishauri tutegemee sanduku la kura tuwe tayari kuiona CCM ikiongoza kwa miaka 100 ijayo.
So, nini kifanyike ili lengo litimie.
Tujadili seriously, ignore wote watakaoleta utani.
Kwani kabla ya CCM kulikuwa na chama gani.Uiondoe CCM madarakani halafu uweke chama gani?
I second this motionMoto 🔥 kiberiti kwa nyumba zao zipigwe
CCM hichohicho,kimebadili jina tu kama simba toka Sunderland nacho toka TANU hadi CCMKwani kabla ya CCM kulikuwa na chama gani.
Hakuna chama cha kuipokea CCM hatamu za uongozi kwa sasaThis is the one and only way ila siasa ni Sayansi, hata tukipata katiba mpya nzuri, ili CCM iondoshwe ni lazima kwanza kipatikane chama mbadala wa kuipumzisha CCM, kitu ambacho Tanzania bado hatuna any serious and credible opposition to check out CCM.
This is true , kwa Katiba cii ambayo ni ya CCM, CCM sio tu ni chama tawala, ni chama Dola! na hili tumelisema sana humu!,
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
- Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
- CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
Machafuko ndio njia pekee. Inatakiwa wakati wa mashindano ya AFCON tuandae tena maandamano makubwa iwapo mchakato wa katiba mpya utakuwa haujaanza.Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.