Tujadili: Mbinu rahisi za kuzifunga team zinachocheza pasi nyingi

Timu zinazoupiga mwingi dawa yake ni kuhakikisha timu yako inakuwa na speed uwanjani katika kukaba na kushambulia kuzidi hiyo timu.

3-5-2 ni mfumo mzuri sana na hasa ukiwa na viungo washambuliaji wenye uwezo wa kukaba pia.

Hivyo vitimu kuvifunga kirahisi ni kuvibabatiza kwa pasi shoot kutokea pembeni au nje ya box.

Hakikisha hamfanyi madhambi karibu na goli lenu au na dhibitini mipira ya kona maana hivi vitimu mara nyingi vinakuwa na wachezaji ambao wakishindwa kupenya wanatafuta mipira iliyokufa na mara nyingi wakipata wanawawasha.
 
hii ni gegenpressing bila shaka mkuu!
 
Yeah lakini inabidi ujihadhari usiwe na wachezaji wanaokimbia sana kwenye suala la kukaba isipokuwa washambulia wako inabidi wawe active sana wakati wa kushambulia otherwise utafungwa sana
 
Unaongelea PlayStation au kumfunga guadiora?
 
Mbona msimu huu hao wanaume hawakumfunga city?
inawezekana ni kweli
mfumo wanaotumia tot na liver ni mgumu na unachosha wachezaji haraka tofaut na pep!
so tot hajamfunga man city?
inakera sana mimi nimejikunjua kuandka hapa mtu badala ya kupinga kiufundi kama mimi we unaleta ishu ya pes!
shusha nondo na ww
 
Umeandika point ipi katika hizi taarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…