Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

Kutangulia sio kufika lakini..Yanga 1 Simba 0 dakika ya 70, Tegete..naamini linarudi Msimbazi tulieni
 
Hivi inakuwaje wanaweka mpira wa Yanga na Simba siku kama ya leo? Hawafahamu kwamba timu yoyote itakayoshindwa ndio sikukuu kwishnei? Naona leo kuna wapenzi watakiona cha mtema kuni. Noel itawasha kama pili pili manga.
 
Leo santa anaweza kasirika na watu nyumbani kuumia au anaweza furahisha na watu wakavuna zaidi ya walichotegemea...! Nina boksi la kapten Morgan, na JD hapa plus SOCO.....🙄
 
It iz One all, normal 90min over! Extra 30min. or penalties straight away?
 
T z confirmed we r going 4 extra 30 min. No golden goalz. Simba gets us underway...
 
T z confirmed we r going 4 extra 30 min. No golden goalz. Simba gets us underway...

Wengine tayari tulishauona huo mpira mapemaaaaaaa. Matokeo yako kama nilivyosema hapo chini kabla hata timu hazijaingia uwanjani.

Oktoba 31 ulisema hivyohivyo naona hukomi tu. Mechi ya leo itaisha kwa sare ya moja moja halafu itaenda kwenye matuta ambapo simba atashinda kwa penati nne kwa tatu. Kaseja atafuta mbili.
 
Wenye matokeo yaelekea presha juu maana hawaonekani.
 
Captain
Utabr wako umefanikiwa part 1. Bado part 2 hilo la penaties. Y speak too soon?!
Ol in ol congrats 4 ur predikshn @ least
 
1st half of xtra time z ova. We are into 3rd min of th second half of the extra time. It z still one all.
 
Haruna mosh 'boban' of simba is red carded. I dont know y?
 
njama tuu hizo...from prev records he is always red carded against yanga...
Ufisadi wa manji hizo...ushindi unakwenda msimbazi tuu na huyo refa lazima achapwe bakora tuu leo..tunamsubiri baada ya mechi maana tulishasema ujinga wa refa hatutavumilia
 
Haruna mosh 'boban' of simba is red carded. I dont know y?
amefanya kosa gani??
goma letu hilo hata wakiamua kulima kado woote wakamuacha kaseja pekee langoni bado tutaifunga yanga.
 
kweli kabisa...yaania kila mechi lazime apewe kadi nyekundu jamani...
 
Haruna mosh 'boban' of simba is red carded. I dont know y?
What? Again? Yani kila mechi Simba lazima wapate kadi..why?? ila kama kawaida tutawachapa na watu kumi..bado dakika ngapi?
 
Back
Top Bottom