Tujadili mfumo wa TRA ulioboreshwa wa kuweka TIN katika manunuzi

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu

Tujadili mfumo ulioboreshwa wa kuweka TIN number katika manunuzi yako au mauzo yako hivo kufanya vyote vionekane TRA.

Mnunuzi na muuzaje watakapo toa au kupokea risit isiyo na tin number Basi nikosa kisheria hivo utalipa faini ya 3000000-4500000 hiyo Itakua nikwamfanya biashara wamakundi yote yenye tin number wadogo wakati na wakubwa
 
Mnunuzi ataruhusiwa kudai VAT ikiwa aliweka TIN yake wakati wa manunuzi. Adhabu ya kutotoa risiti halali ni shilingi milioni 3 mpaka 4.5 na kutodai risiti halali ni shilingi 30,000 mpaka milioni 1.5.
 
A smart way of collecting tax ni kuweka mifumo ya kufanya transaction cashless, every part envolved anachukua chake during a cause of a transaction...ila hii ya kuweka adhabu na kuchimbana mabiti its the old and iliterate way of doing things...
 
Ni Manunuzi ya kuanzia bei gani lazima mnunuzi awe na tin..........!
 
Mnunuzi ataruhusiwa kudai VAT ikiwa aliweka TIN yake wakati wa manunuzi. Adhabu ya kutotoa risiti halali ni shilingi milioni 3 mpaka 4.5 na kutodai risiti halali ni shilingi 30,000 mpaka milioni 1.5.
Nna leseni nahitaji Certificate ya TIN napateje? Nilikata TIN Ila certificate sikupewa nikija OFISINI kwenu napigwa Dana Dana nyingi nenda huku nenda kule, naomba mnipe muongozo
 
TRA na fine kama samaki na majini, ila uzuri wenu mnameza ya majadiliano na mteja
 
Habari wakuu

Tujadili mfumo ulioboreshwa wa kuweka TIN number katika manunuzi yako au mauzo yako hivo kufanya vyote vionekane TRA.

Mnunuzi na muuzaje watakapo toa au kupokea risit isiyo na tin number Basi nikosa kisheria hivo utalipa faini ya 3000000-4500000 hiyo Itakua nikwamfanya biashara wamakundi yote yenye tin number wadogo wakati na wakubwa
Vipi kama mteja hana TIN? Huruhusiwi kumuuzia?
 
A smart way of collecting tax ni kuweka mifumo ya kufanya transaction cashless, every part envolved anachukua chake during a cause of a transaction...ila hii ya kuweka adhabu na kuchimbana mabiti its the old and iliterate way of doing things...

Sounds idiotic, do we have supportive systems?
 
Sounds idiotic, do we have supportive systems?
Nna leseni nahitaji Certificate ya TIN napateje? Nilikata TIN Ila certificate sikupewa nikija OFISINI kwenu napigwa Dana Dana nyingi nenda huku nenda kule, naomba mnipe muongozo
Tafadhali cheti ni haki yako kama hutojali tupigie 0800780078 ili tujue ni ofisi ipi na tukupatie msaada zaidi.Na ingependeza pia tufahamu ni ofisi yetu ipi hiyo ili tuweze kuboresha huduma zetu.
 
Habari wakuu

Tujadili mfumo ulioboreshwa wa kuweka TIN number katika manunuzi yako au mauzo yako hivo kufanya vyote vionekane TRA.

Mnunuzi na muuzaje watakapo toa au kupokea risit isiyo na tin number Basi nikosa kisheria hivo utalipa faini ya 3000000-4500000 hiyo Itakua nikwamfanya biashara wamakundi yote yenye tin number wadogo wakati na wakubwa
duh nilijua adhabu ni kutoweza kudai returns
 
Tafadhali cheti ni haki yako kama hutojali tupigie 0800780078 ili tujue ni ofisi ipi na tukupatie msaada zaidi.Na ingependeza pia tufahamu ni ofisi yetu ipi hiyo ili tuweze kuboresha huduma zetu.
Nilienda MAPATO HOUSE pale kando ipo TRA HQ Ila pale MAPATO HOUSE nilipigwa dana dana cross dongo nenda huku nenda kule nenda huku nenda kule nikaamua kuondoka zangu sikuambulia chochote na cheti sikupata

Na hizo namba zote za huduma kwa wateja nilipiga nilichukua kwenye website yenu Ila hakuna aliepokea na kuna namba ya WhatsApp niliwatumia ujumbe sikujibiwa chochote, Instagram niliwaandikia DM sikujibiwa chochote niliandika kwenye page yenu ya Instagram sikujibiwa chochote up to now

Boresheni huduma zenu kwa wateja
 
Taasisi zote za Serikali sidhani kama wanapojeaga simu au kujibu hata email za raia,unakuta taasisi ina sijui facebook page ila sasa wasiliana nao uone hawatakujibu kitu, Hilo ni tatizo sugu sana
 
Jamaa kote hawajibu kitu yaan ni mabubu kabisa zamani kidogo TANESCO na DAWASCO walikua wanajitahidi hata kujibu na kupokea simu au kukupigia kabisa simu au kukutumia ujumbe kukuhimiza kulipa bill au kukupa maelekezo na mengineyo, lakini kipindi hiki wote utendaji ni mbovu mbovu mbovu hakuna CUSTOMER SERVICE nzuri wanatia huzuni kwa kweli CUSTOMER CARE zao ni mbovu mbovu mbovu
 
Back
Top Bottom