Tujadili mfumo wa TRA ulioboreshwa wa kuweka TIN katika manunuzi

Tujadili mfumo wa TRA ulioboreshwa wa kuweka TIN katika manunuzi

Kwa tunaoanza biashara ule msamaha wa kodi kuanzia miez 6 mpaka mwaka mmoja umerudi so kaeni mkilijua hilo
 
Nilienda MAPATO HOUSE pale kando ipo TRA HQ Ila pale MAPATO HOUSE nilipigwa dana dana cross dongo nenda huku nenda kule nenda huku nenda kule nikaamua kuondoka zangu sikuambulia chochote na cheti sikupata

Na hizo namba zote za huduma kwa wateja nilipiga nilichukua kwenye website yenu Ila hakuna aliepokea na kuna namba ya WhatsApp niliwatumia ujumbe sikujibiwa chochote, Instagram niliwaandikia DM sikujibiwa chochote niliandika kwenye page yenu ya Instagram sikujibiwa chochote up to now

Boresheni huduma zenu kwa wateja
Tafadhali tembelea Makao Makuu Idara ya Huduma na Elimu kwa Mipakodi ili tatizo lako litatuliwe na tunaomba radhi kwa changamoto uliyokutana nayo.
 
Tafadhali tembelea Makao Makuu Idara ya Huduma na Elimu kwa Mipakodi ili tatizo lako litatuliwe na tunaomba radhi kwa changamoto uliyokutana nayo.
Sawa Asante nashukuru, nikipigwa dana dana tena ntakuja kuwaambia hapa au nipeni namba zenu za huduma kwa wateja za uhakika zinazopokelewa maana hio uliyonipa ukipiga hakuna anaepokea inaita tu hadi inakata
 
Back
Top Bottom