Nilienda MAPATO HOUSE pale kando ipo TRA HQ Ila pale MAPATO HOUSE nilipigwa dana dana cross dongo nenda huku nenda kule nenda huku nenda kule nikaamua kuondoka zangu sikuambulia chochote na cheti sikupata
Na hizo namba zote za huduma kwa wateja nilipiga nilichukua kwenye website yenu Ila hakuna aliepokea na kuna namba ya WhatsApp niliwatumia ujumbe sikujibiwa chochote, Instagram niliwaandikia DM sikujibiwa chochote niliandika kwenye page yenu ya Instagram sikujibiwa chochote up to now
Boresheni huduma zenu kwa wateja