Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
mbege:ni pombe ya asili ambayo inatumika kama kiburudisho na pia ina heshimiwa na wachaga.
Ndizi:hiki ndicho chakula cha asili cha wachaga,na itakuwa ajabu iwapo utakuta mgomba katika shamba analomiliki mchaga.
Wanawake wazuri wanapatikana maeneo ya Marangu na Machame.
Wanaume wapole na wenye hekima wanapatikana Kibosho.
Washamba wote wanapatikana maeneo ya Uru especially Kishumundu
Ni wazuri kwa kila kitu mkuu..ni wanawake wanaofaa hata kuweka ndani. Ukienda Uru utaelewa ninachosema.mkuu wanawake wazuri viwango vipi,roho safi?au uzuri kwa nje?maumbile,sura?
aaaah mkuu wachagga wa uru ni wapiganaji,inaonekana walinyimwa elimu lakini wanapambana
mbona hujaongea kuhusu warombo?
Ni wazuri kwa kila kitu mkuu..ni wanawake wanaofaa hata kuweka ndani. Ukienda Uru utaelewa ninachosema.
Warombo ni wachapakazi sana..nawaheshimu kwa hilo!
Kuna wa Old Moshi na Waanjo ambao hawaeleweki eleweki.
warombo nahisi walinyimwa elimu kiaina,lakini kwa hasira hizo wamepiga bao baada ya kuamua kujituma kwa nguvu
nina rafiki wengi kutoka rombo kwa jinsi wanavyofanya biasharta napenda sana,pamoja na kwamba hawana elimu kama wamarangu na wamachame lakini jamaa wako mbali
Hawa ni wakutokea Kirua Vunjo na Kilema..waanjo ni wa wapi,ndio mara ya kwanza nasikia hiyo
Hawa ni wakutokea Kirua Vunjo na Kilema..
Wapo half way, siyo wamarangu..wala wa old Moshi!
Hahah..umenifurahisha sana!!yule Mrema wa TLP ni Mhanjo??aisee kama wako kama mrema vigeugeu basi hawafai hata kidogo
Hahah..umenifurahisha sana!!
Yule ndio kama Mungu wa wao!
Mbatia naye pia ni wa huko huko.