Tujadili real estate

Tujadili real estate

nyabaheta

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
247
Reaction score
82
Vijana "wachuuzi" wanasema hailipi hapohapo,ingawa wanakubali ni biashara endelevu sana,so wanatafuta kufanya biashara ambazo zitawapa kipato kidogo,halafu baadae waje kuwekeza huku,hasa kwa kununua viwanja,kuuza na kununua ardhi kubwa zaidi,imekaaje hii wadau?
 
Nataka mawazo ya watu wengine kama mnafikiria real estate haikulipi hapohapo kwa maana ya faida kulinganisha na biashara zingine,real estate itkubidi usubiri sana,au kuna njia mbadala za kuifanya ikulipe daily pasipo kusubiri mfano ardhi ikue thamani ndo ikulipe kwa wewe kuiuza?
 
Kila Biashara inahitaji uvumilivu ili ili kuja kunufaika, Kwa sababu hata Makampuni kama SONY imewachua miaka mingi sana kujenga Brand name yao na kuja kufaidi matunda, na katika biashara mara nyingi mafanikio huja kuonekana baada hata ya 20 mpaka 30 years, achana na hizi sijui za M PESA, na kazalika ambazo hata zenyewe unapata tu pesa ya kula, kwa sababu huwezi panua biashara ya M PESA kuwazidi wenye Kampuni ambao ndo wamiliki wa Idea,

Kwenye real estate ni kweli inachukua miaka mingi sana na inategemeana wewe una miaka mingapi make unaweza kuta watoto wako ndo wakaja kufurahia hiyo investment yako na si wewe, kwa sababu Return zake ni za muda mrefu sana na that is why hata mikopo ya kujenga nyumba inarejeshwa kwa muda mrefu sana, na niliwahi semega kuna baadhi ya nchu kisheria huruhusiwi kujenga nyumba kwa pesa yako mwenyewe ni lazima uchukue mkopo,

Ila all in all inahitaj Capital kubwa sana, ya kuwekeza kwenye haya mambo na mara nyingi ni lazima tu uwe unachukua mikopo benki ili kujenga Nyumba kwa sababu ukisema utumie pesa yako ni vigumu sana, ndo maana unawaona wakina NSSF wanavyo tumia pesa zetu, kwa fujo ila zingekuwa ni zao wao wasingeweza, that is why hata NHC inawabidi some time wategeemee serikali iwape pesa za kujenga majumba ya kuuza au kukodisha

Ndo maana ukiwasikiliza hata NSSF hayo majumba wanayo jenga yataanza kuwalipa baadae sana na si leo
 
Miongoni mwa matarajio yangu hapo baadaye ni kuwekeza kupitia realestate, hususani kununua na kuuza viwanja na mashamba. Hivyo, naomba mawazo yenu juu ya ufanisi wa hii biashara hapa Tanzania wakati huu naiweka akili sawa. Nimekuwa nasoma vitabu kadhaa, ila si vya Tanzania, hivyo sina uelewa wa hapa nchini.
 
Kila Biashara inahitaji uvumilivu ili ili kuja kunufaika, Kwa sababu hata Makampuni kama SONY imewachua miaka mingi sana kujenga Brand name yao na kuja kufaidi matunda, na katika biashara mara nyingi mafanikio huja kuonekana baada hata ya 20 mpaka 30 years, achana na hizi sijui za M PESA, na kazalika ambazo hata zenyewe unapata tu pesa ya kula, kwa sababu huwezi panua biashara ya M PESA kuwazidi wenye Kampuni ambao ndo wamiliki wa Idea,

Kwenye real estate ni kweli inachukua miaka mingi sana na inategemeana wewe una miaka mingapi make unaweza kuta watoto wako ndo wakaja kufurahia hiyo investment yako na si wewe, kwa sababu Return zake ni za muda mrefu sana na that is why hata mikopo ya kujenga nyumba inarejeshwa kwa muda mrefu sana, na niliwahi semega kuna baadhi ya nchu kisheria huruhusiwi kujenga nyumba kwa pesa yako mwenyewe ni lazima uchukue mkopo,

Ila all in all inahitaj Capital kubwa sana, ya kuwekeza kwenye haya mambo na mara nyingi ni lazima tu uwe unachukua mikopo benki ili kujenga Nyumba kwa sababu ukisema utumie pesa yako ni vigumu sana, ndo maana unawaona wakina NSSF wanavyo tumia pesa zetu, kwa fujo ila zingekuwa ni zao wao wasingeweza, that is why hata NHC inawabidi some time wategeemee serikali iwape pesa za kujenga majumba ya kuuza au kukodisha

Ndo maana ukiwasikiliza hata NSSF hayo majumba wanayo jenga yataanza kuwalipa baadae sana na si leo

Lakini bado kuna uwezekano wa kuanza kidogo mkuu chasha,yaani si lazima uanze na kujenga,unaweza kununua viwanja.
 
Back
Top Bottom