Tujadili: Refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa, tumebebwa au ni sahihi?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ni sahihi, chadema watasema haya matukio yanayofuatana yanawafanya wasisikike, mara King Kikii, mara Mafuru, mara stars... Waking tayari kumlaumu hata Mungu kwa kazi yake
 
Kwa mara ya kwanza tumebebwa na refa hata mda alio ongezwa aukuendena na mda manuala alio poteza, ila cha muhimu yume fuzu.
 
NICHUKUE NAFASI HII KUMPONGEZA DAKTARI SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUHAKIKISHA TAIFA STARS INAFUZU AFCON 2025...BILA MAMA SIJUI TEAM HII INGEKUA WAPI MAMA KAMA MAMA
 

Attachments

  • downloadfile-13.jpg
    73.3 KB · Views: 3
Kama dakika zimeisha hakuna cha kusubiri zaidi ya penati tu, pili haikuwa kona
 
Wachawi wa kwetu, hoteli za kwetu, uwanja wa kwetu Rais wa kwetu, halafu tufungwe? Ingelikuwa ajabu
 
Kwa mara ya kwanza tumebebwa na refa hata mda alio ongezwa aukuendena na mda manuala alio poteza, ila cha muhimu yume fuzu.
Ujinga huu unaoonesha hapa ni wa kiwango cha juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…