Tujadili: Refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa, tumebebwa au ni sahihi?

Tujadili: Refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa, tumebebwa au ni sahihi?

Wewe ndio umekuja na mpya. Ile kweli haikuwa kona??

Ingekuwa ni Yanga au Simba, kelele za kubebwa zingekuwa nyingi.

Somo:.mashabiki siku zote huwa hatuko objective bali ni kutetea tu timu uliyo na mapenzi nayo.
Karudie video, haikuwa kona.
 
Team imepambana sana Mudathir na Mutasingwa wamelinda vema back defense
 
Wewe ndio umekuja na mpya. Ile kweli haikuwa kona??

Ingekuwa ni Yanga au Simba, kelele za kubebwa zingekuwa nyingi.

Somo:.mashabiki siku zote huwa hatuko objective bali ni kutetea tu timu uliyo na mapenzi nayo.
Watu hua hamuwi makini kuangalia mpira, ile haikua kona ilikua na mpira wa kurusha.

Pili dakika zilishaisha ile ilikua dakika ya 5 au kasoro sekunde chache sana.

Refa anaruhusiwa kumaliza mda wowote pale dakika zitakapo kua zimekwisha nafikiri ni pigo kubwa tu ndio linaloweza kusubiriwa
 
Kwahiyo hawajafunga dakika 90 ila wangefunga kona? Hizo 90 nazo mlibebwa?
 
Refa Familia ameoa mnyakyusa
Kipa familia amekamilisha ubaya ubwela...
 
Tumepasua paper kwa kupiga CHABO, hata lile goli Msuva aliotea.
Kaka lile ni goli halali, Azam TV wamerudia mara nyingi Msuva hakuwa offside, jamaa aliruka akaukosa mpira ndo Msuva akasogea kidogo mbele na kufunga.
 
Back
Top Bottom