Tujadili viumbe walioumbwa kwa moto na upepo ambapo humo tunapata Malaika, majini, vibwengo, shetani wana maumbo au hadaa zetu tu?

Tujadili viumbe walioumbwa kwa moto na upepo ambapo humo tunapata Malaika, majini, vibwengo, shetani wana maumbo au hadaa zetu tu?

Mkuu jini ameumbwa na nani?
Ni product moja kwa moja ya Lucifer, jinn is Lucifer creation wameumbwa kwa Moto.. Kabla ya kuzuiwa kutumia secret fire na muumbaji mkuu, na hivi viumbe vinaulimwengu wao ambao Ni tofauti na ulimwengu wa kipepo.. ulimwengu wao unaitwa ulimwengu wa ki jinn na kiongozi wao mkuu ni iblis, Japo yanasemwa kwamba jinn Ni spirit za nephilims lakini Sio kweli .
 
Je yawezekana majini ni uzao wa wale Malaika wachache waasi waliozaa na binadamu wakazaliwa Wanefili Mwanzo 6:1-4, na gharika ya Nuhu ilipoua viumbe mbalimbali ikiwemo hawa Wanefili miili yao ikafa na roho zao si hawa majini?
Maana baba zao yaani malaika waasi wamefungwa shimoni hawana ruhusa kutoka huko kuja duniani hata hukumu itakapokuja, Yuda 1:6, 2 Petro 2:4.
Kama sivyo, zile roho za Wanefili walikufa kwenye gharika ziko wapi?

Nephilims Ni disembodied spirit ambazo Ni zao la unholy angels na binadamu,baada ya ghahabu ya Mungu hizi roho zilibaki ulimwenguni zikitangatanga tu, ila Sio source ya majini maana hizi roho Ni za kipepo. Roho za wanefel ziko kuzimu

Jinn Ni viumbe wa ngazi ya Chini kiutendaji kwenye upande wa giza.
 
Aaaaaa sawa mkuu.
Nephilims Ni disembodied spirit ambazo Ni zao la unholy angels na binadamu,baada ya ghahabu ya Mungu hizi roho zilibaki ulimwenguni zikitangatanga tu, ila Sio source ya majini maana hizi roho Ni za kipepo. Roho za wanefel ziko kuzimu

Jinn Ni viumbe wa ngazi ya Chini kiutendaji kwenye upande wa giza.
 
Mitoto ya iliyozaliwa buku2 wanabisha hakuna majin ila sis tuliyowahi kushuudia haya mamb ngoja tukae kimya mpaka siku msala ukikuta ndo utajua majin hua yanafanya kazi na binadamu ndo maana wezutu white pple wanaamin uwepo wa hawa viumbe na kutafuta ways za kuwaslianano kwa nia ya kutawala dunia sis tupo tunabisha tu hata mizimu yetu hatuiyamin..........always black pple hata akisoma atabaki kua jinga flani eg kabudi
“White pple” gani ambao wapo busy na MAJINI mkuu?

Wenzetu wako busy na LOGIC na sio hekaya za kusadikika kama Majini kama unavyojidanganya

Au unafikiria maendeleo yote ya White pple yameletwa na majini?..... NOPE, ni Logic
 
Huu uzi ni muhimu sana.
Binafsi siamini katika majini na hao invisible beings. Ila kuna magonjwa ya akili au disorder zinazopelekea kuwa na illusive perception. Hao artists na hizo myhts ambazo zinaelezea uwepo ni namna tu watu wa zamani walivyo tumia imaginations zao, kuleta myths which have nothing to do with reality. Hizo ni mental creations tu, na ni kweli they look like zina exist. Hakuna majini wala uchawi. Kila kitu kinahappen based on conditions, japo hatuwezi control reality ila lazma kuwe na chanzo.
 
Faith is the practice of training the mind to ignore facts, evidences and logic. Hakuna ushaidi ya kuwepo kwa viumbe hivyo. Ni ubongo wako tu ukichanganywa au kiuchanganyikiwa ndo utafikiri hao viumbe wapo.
Naamini ulishawhi kuota ndoto siku moja ulipokuwa umelala usingizi. Hii ni fact ambayo naiamini. Mbali na hilo, hakuna namna ambayo wewe unaweza ukani-pruvia kuwa huwa unaota usingizi, pamoja na ukweli kuwa kweli huwa unaota ndoto

Empericism doesnt work when it comes to ndoto, but faith works. Now do you see the contradiction in your definition?

Zipo several provable faith facts, lakini huwezi ukaziprove kwa wengine, kwa sababu faith is based on spritual science; whereas your definition here about faith bases on emperical science, completely ignoring spritual science

Tusitake kuchanganya mambo, hizi ni sayansi mbili tofauti, tuache kuzigonganisha
 
Back
Top Bottom