Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
Ni product moja kwa moja ya Lucifer, jinn is Lucifer creation wameumbwa kwa Moto.. Kabla ya kuzuiwa kutumia secret fire na muumbaji mkuu, na hivi viumbe vinaulimwengu wao ambao Ni tofauti na ulimwengu wa kipepo.. ulimwengu wao unaitwa ulimwengu wa ki jinn na kiongozi wao mkuu ni iblis, Japo yanasemwa kwamba jinn Ni spirit za nephilims lakini Sio kweli .Mkuu jini ameumbwa na nani?
Je yawezekana majini ni uzao wa wale Malaika wachache waasi waliozaa na binadamu wakazaliwa Wanefili Mwanzo 6:1-4, na gharika ya Nuhu ilipoua viumbe mbalimbali ikiwemo hawa Wanefili miili yao ikafa na roho zao si hawa majini?
Maana baba zao yaani malaika waasi wamefungwa shimoni hawana ruhusa kutoka huko kuja duniani hata hukumu itakapokuja, Yuda 1:6, 2 Petro 2:4.
Kama sivyo, zile roho za Wanefili walikufa kwenye gharika ziko wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Changamoto ni hao wanaotaka uthibitisho
Nephilims Ni disembodied spirit ambazo Ni zao la unholy angels na binadamu,baada ya ghahabu ya Mungu hizi roho zilibaki ulimwenguni zikitangatanga tu, ila Sio source ya majini maana hizi roho Ni za kipepo. Roho za wanefel ziko kuzimu
Jinn Ni viumbe wa ngazi ya Chini kiutendaji kwenye upande wa giza.
“White pple” gani ambao wapo busy na MAJINI mkuu?Mitoto ya iliyozaliwa buku2 wanabisha hakuna majin ila sis tuliyowahi kushuudia haya mamb ngoja tukae kimya mpaka siku msala ukikuta ndo utajua majin hua yanafanya kazi na binadamu ndo maana wezutu white pple wanaamin uwepo wa hawa viumbe na kutafuta ways za kuwaslianano kwa nia ya kutawala dunia sis tupo tunabisha tu hata mizimu yetu hatuiyamin..........always black pple hata akisoma atabaki kua jinga flani eg kabudi
Uwepo wa kitu bila uthibitisho ni ubatiliChangamoto ni hao wanaotaka uthibitisho
Naamini ulishawhi kuota ndoto siku moja ulipokuwa umelala usingizi. Hii ni fact ambayo naiamini. Mbali na hilo, hakuna namna ambayo wewe unaweza ukani-pruvia kuwa huwa unaota usingizi, pamoja na ukweli kuwa kweli huwa unaota ndotoFaith is the practice of training the mind to ignore facts, evidences and logic. Hakuna ushaidi ya kuwepo kwa viumbe hivyo. Ni ubongo wako tu ukichanganywa au kiuchanganyikiwa ndo utafikiri hao viumbe wapo.