Tujadli afya kwa matumizi sahihi ya miundombinu ya maji, usafi ni utu

Wizara ya Maji

Govt Institution
Joined
Oct 2, 2024
Posts
34
Reaction score
20
Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu.

Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu, sasa na wakati ujao.


View: https://www.instagram.com/p/Ddfq_lkolMD/
 
Huo usafi unafanyika vipi bila maji? Hizo ni dhihaka za waziwazi.

Huko Bulale, Buhongwa hakuna maji wiki ya pili sasa,nyumb nyingi zina vyoo vya ndani huku ukileta utani wa usafi wa mazingira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…