kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nasikia ametolewa nje kwa stretcher?Vipi hali yake?Au hofu ya kukutana na mnyama imemkumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee??!ulitaka atolewe na condom
Ni kweli,ila kwa sasa ajambo.ulikua ni mshtuko tu wamoyo akifikiria kupigo watakacho kuja kupewa na Simba ilhali na ubingwa umekua ni ndoto kwao.Nasikia ametolewa nje kwa stretcher?Vipi hali yake?Au hofu ya kukutana na mnyama imemkumba?
Atacheza hivyo hivyo mkuu, usihofu! Huku bm33 kule the injured niyonzima.Nasikia ametolewa nje kwa stretcher?Vipi hali yake?Au hofu ya kukutana na mnyama imemkumba?
Mimi ni Simba, lakini Yanga kuwakosa Tshishimbi, Balama na Banka ni pengo zaidi kuliko Simba kumkosa Kapombe, mchango wa viungo hao watatu katika mechi ya Jan 4 na March 8 ulikuwa mkubwa sana.Atacheza hivyo hivyo mkuu, usihofu! Huku bm33 kule the injured niyonzima.
Mnatakiwa muwe na wasiwasi kuhusu shishimbi kuliko hawa, hivi yuko wapi?
Banka si nasikia wameamua wamlipe fweza zake zote ili acheze? Nasikia kakwea pia kwenda kupasha bukobaMimi ni Simba, lakini Yanga kuwakosa Tshishimbi, Balama na Banka ni pengo zaidi kuliko Simba kumkosa Kapombe, mchango wa viungo hao watatu katika mechi ya Jan 4 na March 8 ulikuwa mkubwa sana.
Kweli Banka amerejeaBanka si nasikia wameamua wamlipe fweza zake zote ili acheze? Nasikia kakwea pia kwenda kupasha bukoba
Wachezaji wote wanaoidai yanga wangetia muda huu kudai chao.Kweli Banka amerejea
Mbona mnaweweseka? Aliyewaambia hawatacheza ni nani?Banka si nasikia wameamua wamlipe fweza zake zote ili acheze? Nasikia kakwea pia kwenda kupasha bukoba
Jumapili tunanyofoa kabisa ile shingo ya kishingoWachezaji wote wanaoidai yanga wangetia muda huu kudai chao.