Tujalie hali ya Niyonzima

Tujalie hali ya Niyonzima

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nasikia ametolewa nje kwa stretcher?Vipi hali yake?Au hofu ya kukutana na mnyama imemkumba?
 
Ni kweli,ila kwa sasa ajambo.ulikua ni mshtuko tu wamoyo akifikiria kupigo watakacho kuja kupewa na Simba ilhali na ubingwa umekua ni ndoto kwao.
 
Nasikia ametolewa nje kwa stretcher?Vipi hali yake?Au hofu ya kukutana na mnyama imemkumba?
Atacheza hivyo hivyo mkuu, usihofu! Huku bm33 kule the injured niyonzima.
Mnatakiwa muwe na wasiwasi kuhusu shishimbi kuliko hawa, hivi yuko wapi?
 
Mimi ni Simba, lakini Yanga kuwakosa Tshishimbi, Balama na Banka ni pengo zaidi kuliko Simba kumkosa Kapombe, mchango wa viungo hao watatu katika mechi ya Jan 4 na March 8 ulikuwa mkubwa sana.
 
Banka si nasikia wameamua wamlipe fweza zake zote ili acheze? Nasikia kakwea pia kwenda kupasha bukoba
 
Back
Top Bottom