Tujaribu japo kwa mwezi tu...

Tujaribu japo kwa mwezi tu...

Ni kipindi kizuri cha kupumzika bia ili kusafisha ini, kunywa maji mengi, juice na matunda kwa wingi! Pia ni kipindi kizuri kuacha ngono zembe!!

Lakini naomba kuuliza swali la msingi, kwa wale waliokwenda kwenye misa za Jumatano ya majivu jana, yale majivu maana yake nini?

Mkuu hapo ndipo ninapotaka mimi.... yaani kukanyaga clutch japo kidogo kupumzisha mwili

hilo swali lako kuna wataalam akina nguli watakuja kukupa majibu maana JF iko very sensitive na dini, hukawii kukuta makombora yeshaanza juu ya hayo majivu
 
ni kweli kabisa, unajua kuna faida sana ya kupunguza haya magud taim tunayoyala mazee

Kazi kwangu ni kupunguza ile alcohol, yaani nikiangalia serengeti inavuja jasho ndio napata shida lakini nimepasi jana kwahiyo zimebaki 39.... tartiiibu najikongoja

Hahahahahahaha! Yaani nimecheka kwa sauti! Duh! Unavyohesabu siku, tunaomba siku uzalendo ukikushinda uje utuambie hapa tafadhali!
 
dadangu hapa nakupa mia pasenti, lakini tukumbuke sisi si wakamilifu na lazma pawe ka pa kuanzia mema au kupunguza mabaya, na nyakati kama hizi za toba ndio mahala pake

mimi si mkamilifu na najua siko peke yangu, ila tukianzia kipindi hiki tunapata nguvu ya ziada kwale wanaotuombea na pia tunakuwa wengi kwa mpigo hivyo kupunguza vishawishi

Thanks mpendwa ubarikiwe sana
 
Hahahahahahaha! Yaani nimecheka kwa sauti! Duh! Unavyohesabu siku, tunaomba siku uzalendo ukikushinda uje utuambie hapa tafadhali!

we acha tu aisee.... haya mambo bana si mchezo kama hujazoea!!! lakini this time napambana hadi nimalize na niwe good boy🙂

Yakinishinda aisee ntasema tu, maana nafsi itanishtaki
 
tubuni na kuiamini injili wapendwa. naunga mkono hoja.
 
Ni vyema na haki.... ila tusisahau pia kushangilia maisha japo kidogo kwa kutoa wenza wetu japo mara moja kwenda kwenye matamasha na sehemu za burudani lakini tukiepuka prompters was dhambi... au nimekosea nini?😱

Maana maisha lazma yasherehekewe
 
hayo mabadiliko ni kwa ajili ya kwaresma tu au ndiyo mwanzo wa kubadilika? kama ndo mwanzo wa kubadilika basi hongereni ila kama ni kwaresma tu bora muache maana utakuwa ni unafiki.
 
hayo mabadiliko ni kwa ajili ya kwaresma tu au ndiyo mwanzo wa kubadilika? kama ndo mwanzo wa kubadilika basi hongereni ila kama ni kwaresma tu bora muache maana utakuwa ni unafiki.

kuna msemo unasema "safari ya maili mia moja huanza na hatua moja".... unapoamka asubuhi huwa unategemea kwenda kazini na ni kwasababu unakuwa wakati muafaka na siku muafaka, na hata usipofika, lengo kuu lilikua kwenda kazini

its a same scenario, lengo ni kuwa good for long... lakini this is the right time kwani kuna zaidi ya sababu za kawaida kuanza kuwa mtu mwema zaidi ya ulivyokuwa awali

ndio naanza na nimeanza wakati wa kwaresma na sintaacha hata kama ni unafiki kwani heri nusu shari kuliko shari kamili

all we need is encouragement and not judgment my friend...
 
Ni kipindi kizuri cha kupumzika bia ili kusafisha ini, kunywa maji mengi, juice na matunda kwa wingi! Pia ni kipindi kizuri kuacha ngono zembe!!

Lakini naomba kuuliza swali la msingi, kwa wale waliokwenda kwenye misa za Jumatano ya majivu jana, yale majivu maana yake nini?

Majivu ni kutukumbusha kwamba binadamu ni mavumbi na mavumbini tutarudi... ni dalili ya kujikana na kutubu dhambi ili hasira za Mungu zipungue juu yetu na atusamehe dhambi zetu. Kama ni msomaji wa biblia, soma kitabu cha Yona.
 
yaani manake kwa mkeo usijinyime yani ukannndamizie kabisa!!
 
Wakuu asalaam aleykum;

Jana katika pitapita yangu nikatua kwenye nyumba ya ibada ili kujiandaa vyema kwa ajili ya hiki kipindi cha kwaresma

kupunguza tungi kwa zaidi ya 50% maana kwa sasa hazipiti siku mbili mtu lazma ushtue tena si kidogo

Mimi napunguza 100%

Maeneo yafuatayo naomba msinitafute, nitakuwa ibadani (Nasali, Natubu na Kuamini Injili):-
- Calabash (Mwenge)
- New Africa (Happy Hour)
- QBar (Nime-lipia Dstv tayari)
- Billionaire Club (Msasani)
- Makumbusho/Msasani Club (Nyoshi Al-Sadaat usinibeep)
- Bamboo (Akaunta usitume tafadhali nipigie)
- Na Nyumba zote za kulala Wenyeji za Gongo la Mboto na Sinza ( Vyumba Uza kila Ijumaa jioni msiniweeke)

Tubuni na Kuamini Injili
 
HEHEHE!kwenye redi hapo lol!
atakayekutafuta hapo ni shetani!ASHINDWE NA ALEGEE
 
De Novo kaza buti lakini kumbuka kuna wakati unakutana na hii kitu 'roho i radhi lakini mwili ni dhaifu' kwa hivi uzidi kumwomba mungu akutie nguvu umalize kwaresima salama.
 
mimi nadhani ni vyema mambo haya yakawa yanfanywa kila siku na sio kipindi hiki tu..Iwe ni part and parcely ya maisha yetu.
 
Back
Top Bottom