Tujenge Utamaduni wa Kutoa Misaada kwa Shule za Chekechea, Msingi na Upili tulizosoma

Tujenge Utamaduni wa Kutoa Misaada kwa Shule za Chekechea, Msingi na Upili tulizosoma

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nikibahatika Kumpiga Mhindi (kwa Kubeti) katika Mechi niliyobeti (weka Mkeka) Yanga SC anafungwa 3 kwa 0 na Al Hilal FC Kesho Jumapili na kupata Millioni zangu 320 nataka nichangie Millioni Tano Tano kwa kila Shule niliyosoma kisha nitamrushia Tsh 600/= kila Jamiiforums Member ya Kununua Soda wanywe (mnywe) huko huko mliko.

Kuna Mijitu Ina Hela na Kazi nzuri na Kubwa lakini hata tu kupeleka Mifuko ya Saruji au Mabati au Chaki katika Shule walizosoma hawajawahi na wala hata mpango huo hawana.

Tukumbukeni mno kule Kulikotutoa.
 
Hata mimi nikitoboa nitapitia kika sehemu niliyosoma kutatua angalau changamoto moja inshaAllah..
 
Back
Top Bottom