Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

Hii nimeipenda, umesahau kulitumia neno" MSAMAHA" wanamahusiano tunapokoseana kuombana misamaha ni muhimu sana.
 
Yule sio ndugu yako au mzazi kua umvumilie "creativeness na mapenzi". kama hakuna mapenzi huna sababu ya kuanza kuvumilia, ili iweje? ikifikia kuvumuliana ina maana malove davee kwishney. hapa ni uanze kuzonga mbele.


thanx i got a lesson lakn creativeness na uvumilivu ndio kila kitu
 
Back
Top Bottom