Tujiandae kisaikolojia, kuna aibu kubwa kwa Taifa leo

Kanali_

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
6,438
Reaction score
10,180
Baada ya jana Mnyama mkali kuwakilisha vema na kuipeperusha bendera ya Mama Samia barani Afrika, duru za kimataifa zinasema furaha ya jana inaenda kutiwa doa leo pale kwa Ben.

Wazee wa kuchungulia wanasema nchi hii haiwezi kupeleka team mbili hatua ya robo fainali!

Tukutane usiku, Uzi tayari.
 
Mambo ya kuchungulia ni ya mbumbumbu fc, Njoo Kwa Mkapa ushuhidie pira Sayansi, pira uwekezaji, pira la kiprofesa.
Pira Ushindi bila figisu.
Pira ukinuna uwe na Sababu.
 
Mambo ya kuchungulia ni ya mbumbumbu fc, Njoo Kwa Mkapa ushuhidie pira Sayansi, pira uwekezaji, pira la kiprofesa.
Pira Ushindi bila figisu.
Pira ukinuna uwe na Sababu.
Watanuna wasio na uhakika wa kwenda robo final.
Wengine hizo shida zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…