Atakuwa kapata demu sasa hivi.Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli kama awali, naona kama mwisho wake wa kuendelea kuvheza Genk unakaribia, kama mambo yasipobadilika muda wowote kuanzia sasa Samatta atakuwa anarejea barani Africa kutafuta timu ya kucheza ila sio Tanzania. Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki!!
Mkuu ao ndio wabongo kila kitu ni negative, ukiwa mpondaji mzuri ndio unajizolea wapambeHata Messi hafungi kila mechi. Badala kumtakia heri arudi kwenye kiwango chake wewe unatabiria kushindwa na kurudi Afrika.. Aisee hii sijui inatokana na nini...!
Hivi kwanini wachezaji wa kibongo wakipata mademu kiwango kinapeperuka ?Atakuwa kapata demu sasa hivi.
nimeamini ile usemi wa friend yangu kwel watz hampendani badala ya kumwombea ili azid kupambana na kuangalia shida iko wapi nyie ndio mnamponda na kumwonyeshea pa kutokea duuuu acheni izo wanaeast africa sote ni ndugu. Mbona Wanyama hapewi namba kila mechi hatusemi?????Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli kama awali, naona kama mwisho wake wa kuendelea kuvheza Genk unakaribia, kama mambo yasipobadilika muda wowote kuanzia sasa Samatta atakuwa anarejea barani Africa kutafuta timu ya kucheza ila sio Tanzania. Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki!!
Miaka yake halisi na ya kwenye pasipoti inakinzana mkuu, tuwe tu wapole.Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli kama awali, naona kama mwisho wake wa kuendelea kuvheza Genk unakaribia, kama mambo yasipobadilika muda wowote kuanzia sasa Samatta atakuwa anarejea barani Africa kutafuta timu ya kucheza ila sio Tanzania. Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki!!
Toba!Yanga tutampokea kwa mikono 2
Hata Messi hafungi kila mechi. Badala ya kumtakia heri arudi kwenye kiwango chake wewe unatabiria kushindwa na kurudi Afrika.. Aisee hii sijui inatokana na nini...!
We jamaa hujui mpira unafananisha Messi na Samatta?Hata Messi hafungi kila mechi. Badala ya kumtakia heri arudi kwenye kiwango chake wewe unatabiria kushindwa na kurudi Afrika.. Aisee hii sijui inatokana na nini...!