Tujiandae kumpokea Mbwana Samatta muda wowote kuanzia sasa!!

Tujiandae kumpokea Mbwana Samatta muda wowote kuanzia sasa!!

Hata Messi hafungi kila mechi. Badala ya kumtakia heri arudi kwenye kiwango chake wewe unatabiria kushindwa na kurudi Afrika.. Aisee hii sijui inatokana na nini...!


Messi has an impact kwenye timu yake ila Samatta hana. Messi si LAZIMA afunge, yeye anapika mabao kwa wenzake wafunge....usikurupuke kuandika, maliza kunya kwanza na ujichambe vizuri kisha fikiri kabla ya kuandika muharo wako huo.
 
We ni mpuuzi sana....usilete ubongo fleva hapa. Messi alisemwa hafungi kila mechi, nikatoa ushuhuda kuwa ni kweli hafungi kila mechi ila anapika (assist) mabao kwa wenzake wafunge na Samatta hafanyi hivyo. In short, Samatta hana impact katika timu yake, bado unataka kubisha tu? Mpumbavu sana wewe, unakuwa kama shabiki wa Yanga asiyetaka kukubali ukweli ila anasumbuliwa na hasira tu.
Wewe mpumbavu sana tena wa mwisho hapa JF.. Embu soma thread hapo kisha uje, acha kudakia usichokijua, wapi kasema kuhusu assist?
 
Messi has an impact kwenye timu yake ila Samatta hana. Messi si LAZIMA afunge, yeye anapika mabao kwa wenzake wafunge....usikurupuke kuandika, maliza kunya kwanza na ujichambe vizuri kisha fikiri kabla ya kuandika muharo wako huo.
Mtoa mada hajasema hayo usemayo wewe ila kwa kuwa umezoea kushikwa unaweza kumsaidia.. Mjinga mmoja wewe
 
wewe huko kwenu mbozi hakuna network? Morata kashaanza kuaga stamford bridge, siku hizi hata nafasi yake anacheza Giroud.

Wazungu sio wababaifu kama sisi, kazi yako ikiwa ni straika basi tupia magoli au tengeneza wenzako wafunge kinyume na hapo utarudi ulikotoka maana hamna namna.
kashaaza kuaga kumbe rejea hii kauli kumbe msimu huu ndio alikua striker wa chelsea
 
ndani ya team yao kuna mgomo wa chini chini ndio maana team inafanya vibaya kila match.
mfumo anaochezesha Coach Sio rafiki kwa team kupata matokeo mzuri
 
Sidhani kama Wamisri walianzisha uzi kama huu Mo Salah alipovurunda chelsea. Kwanini Watanzania tunaombeana njaa sana?!
 
Samatta angekuwa anacheza namba kumi au winger angefika mbali Ulaya
 
Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli kama awali, naona kama mwisho wake wa kuendelea kuvheza Genk unakaribia, kama mambo yasipobadilika muda wowote kuanzia sasa Samatta atakuwa anarejea barani Africa kutafuta timu ya kucheza ila sio Tanzania. Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki!!
Kwa hiyo umefurahi au ?
 
Naangalia Fox sports hapa wanaonyesha live mechi ya Genk vs Gent...samata yupo benchi na timu yake imeshapigwa moja nw dakika ya 20
 
Hata Salah alipokuwa Chelsea alikuwa hafungi magoli. Samatta akiondoka kwenye hiyo timu anaweza akawa bora zaidi.
 
Back
Top Bottom