escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
super sub kafungaNaangalia Fox sports hapa wanaonyesha live mechi ya Genk vs Gent...samata yupo benchi na timu yake imeshapigwa moja nw dakika ya 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
super sub kafungaNaangalia Fox sports hapa wanaonyesha live mechi ya Genk vs Gent...samata yupo benchi na timu yake imeshapigwa moja nw dakika ya 20
Gent sio timu kubwa...ungesema standard liege,anderlecht au clube bruge hizo ndio club kubwa belgiumSamatta katokea Sub na kuiokoa timu kupigwa uwanja wa nyumbani tena kaifunga timu kubwa tu ya Gent
Gent sio timu kubwa...ungesema standard liege,anderlecht au clube bruge hizo ndio club kubwa belgium
Samata yule km sio 32+ sijuiSamatta yule sio wa sasa, anapitia wakati mgumu sana katika career yake ya soka.
Tumtie moyo walau arudi katika fomu yake, japo nina mashaka na umri wake pia.
Watanzania wengi ni wachawi na washirikina ila hawana tu vitendea kazi.Sidhani kama Wamisri walianzisha uzi kama huu Mo Salah alipovurunda chelsea. Kwanini Watanzania tunaombeana njaa sana?!
Nakusalimia tu mkuuHuyo atafute mzungu aoe tu soka lishamshinda la sivyo Trump atambeba juu juu hadi bongo
Mkuu ungekuwa unafatilia hii ligi usingeandika hiki kitu. Hao Standard liege mara ya mwisho kufuzu Champions league ilikuwa lini?!Gent sio timu kubwa...ungesema standard liege,anderlecht au clube bruge hizo ndio club kubwa belgium
Ni sahihi kabisa. Kati ya wabongo 10, 8 ni wachawi.Watanzania wengi ni wachawi na washirikina ila hawana tu vitendea kazi.