The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series
Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA UJENZI HAVISHIKIKI, huku na kule GESI NAYO HAIKAMATIKI.
unaweza kubashiri raundi hii tutapigwa wapi!?
Kwa mwelekeo ulivyo inaoneokana kuna kituo tunapelekwa hatujawahi kuota wala kuwaza Mungu tu ndiye ajuaye!!