The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Mkuu umesahau vifurushi vya internet vimekuwa ghali sana....
Mkuu umesahau ngano,sukari,mafuta,sabuni n.kInavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series
Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA UJENZI HAVISHIKIKI, huku na kule GESI NAYO HAIKAMATIKI.
unaweza kubashiri raundi hii tutapigwa wapi!?
Kwa mwelekeo ulivyo inaoneokana kuna kituo tunapelekwa hatujawahi kuota wala kuwaza Mungu tu ndiye ajuaye!!
Kituo kinachofuata, sukari, sembe, Michele, maharagwe, mafuta yakula, mihogo na viazi vitamu, Hadi hapo imekaaje wajameni?.Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series
Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA UJENZI HAVISHIKIKI, huku na kule GESI NAYO HAIKAMATIKI.
unaweza kubashiri raundi hii tutapigwa wapi!?
Kwa mwelekeo ulivyo inaoneokana kuna kituo tunapelekwa hatujawahi kuota wala kuwaza Mungu tu ndiye ajuaye!!
Yakheee siye wa mkojaani twala hteendeee na gahawaaaInavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series
Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA UJENZI HAVISHIKIKI, huku na kule GESI NAYO HAIKAMATIKI.
unaweza kubashiri raundi hii tutapigwa wapi!?
Kwa mwelekeo ulivyo inaoneokana kuna kituo tunapelekwa hatujawahi kuota wala kuwaza Mungu tu ndiye ajuaye!!
Na kulipa kod ya majengo thru luku...tozo ya mwigulu..Inavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series
Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA UJENZI HAVISHIKIKI, huku na kule GESI NAYO HAIKAMATIKI.
unaweza kubashiri raundi hii tutapigwa wapi!?
Kwa mwelekeo ulivyo inaoneokana kuna kituo tunapelekwa hatujawahi kuota wala kuwaza Mungu tu ndiye ajuaye!!
Hivyo tulishalizwa sana na hakuna mtu wa kutuonea hurumaMkuu umesahau vifurushi vya internet vimekuwa ghali sana....
Mara ngapi mkuu maana wengi wapo tayari mahakamaniWanaolalamika kufunguliwa kesi za ugaidi na uhujumu uchumi. Hicho ndicho kinafuata.
Tumeipenda sisi wenyewe wacha ituuueeee.Ada za shule zitaongezeka, nafaka hazikamatiki nk
Ndiyo maana Lisu na Lema hawatarudi kamwe TanzaniaInavyo onekana huu ni mwaka wa watanzania kukinywea kikombe cha mateso hii ni kama series
Tulianza na TOZO ikapoa, ikaja ONDOA MACHINGA kabla haijapoa, MGAO WA UMEME, tukiwa tunashangaa umeme, MGAO WA MAJI nao ndani, tukiwa bado tumeduwaa mara paap PETROLI BEI JUU, hiyo haikutosha VIFAA VYA UJENZI HAVISHIKIKI, huku na kule GESI NAYO HAIKAMATIKI.
unaweza kubashiri raundi hii tutapigwa wapi!?
Kwa mwelekeo ulivyo inaoneokana kuna kituo tunapelekwa hatujawahi kuota wala kuwaza Mungu tu ndiye ajuaye!!
Bei ya "zana" itakua kubwa sana sanaKwa mwelekeo ulivyo inaoneokana kuna kituo tunapelekwa hatujawahi kuota wala kuwaza Mungu tu ndiye ajuaye!!
Wewe mpuuzi kama kawaida yakoNdiyo maana Lisu na Lema hawatarudi kamwe Tanzania