Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Hii mada sikuweza kuwasilisha vizuri ila nitarudia ili kuachana na uchawi na akili za fulani kanifungulia.
Biashara za misosi kitaalamu tunaita kemia ndio maana mtu anaweza kujua hii Pepsi na hii coca cola.
Uwezi kwenda sehemu moja kila mtu wanapika kina fanana kama hupo gerezani.
Yani leo supu ng'ombe ya Mwanza ni sawa na supu Mbeya ,ukitafuta tofauti ni mda ila ni wale wale.
Mliofika japan na tuliofika hawa jamaa hata kama ni majirani wanapika chakura kimoja maana wanapenda tambi .Uwezi kusema wote sawa.
Kila mmoja anafanya utofauti wake ili mtumiaji kutochoka wala kuanza ubaya.
Leo nataka kikoje sio huku kwetu.