Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:
(1) 9+1=70
(2) 9+2=11
(3) 9+3=12
(4) 9+4=13
(5) 9+5=14
(6) 9+6=15
(7) 9+7=16
(8) 9+8=17
(9) 9+9=18
(10) 9+10=19
Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza.
Akawatazama wanafunzi, kisha akawaambia yafuatayo:
HIVYO, HILO NI SOMO KWENU:
Mambo tisa (9) muhimu ya kuzingatia ili uishi na watu vizuri:
1. Usiishi na hasira, kinyongo Wala Visasi.
2. Maovu usiyaishi, heshimu wanajamii.
3. Usiamue kabla ya kupata ukweli.
4. Chukulia kila mwanadamu ni Mkosaji, Bali Siyo mwenye dhambi.
5. Usijenge chuki nje ya suluhu
6. Epuka kusukumwa kutenda nje ya Imani yako.
7. Usipende Ugomvi.
8. Subiri, sikiliza, elekeza, vumilia, Jifunze.
9. Ishi na akiba ya maneno. Tutunze ndimi zetu
Ishi vizuri na watu sababu utadumu nao. Bali Mali huisha, Mamlaka hukoma, Mfadhili Siyo wa milele.
(1) 9+1=70
(2) 9+2=11
(3) 9+3=12
(4) 9+4=13
(5) 9+5=14
(6) 9+6=15
(7) 9+7=16
(8) 9+8=17
(9) 9+9=18
(10) 9+10=19
Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza.
Akawatazama wanafunzi, kisha akawaambia yafuatayo:
Code:
"Nimejikosesha lile swali la kwanza makusudi, kwasababu nilihitaji mjifunze kitu kimoja muhimu sana.
Mnapaswa kujua namna ambavyo dunia inaweza kuwachukulia. Unaona hapo, nimeandika kwa usahihi maswali tisa (9), lakini hakuna kati yenu aliyenipongeza kwa hilo; wote mmecheka na kunilaumu kwasababu ya kosa moja tu nililofanya."
HIVYO, HILO NI SOMO KWENU:
"Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu..." ```Mambo tisa (9) muhimu ya kuzingatia ili uishi na watu vizuri: