Tujifunze kidogo kuhusu Feature iliopo Kwenye Magari Mengi: Cruise Control!

Tujifunze kidogo kuhusu Feature iliopo Kwenye Magari Mengi: Cruise Control!

Unyama sn. Am a dead fan of subaru
Ni ndege ya chini kwelikweli ukiachana na cruise control kuna feature nyingine ya SPORT, SPORT SHARP na PADDLE SHIFTER
IMG_20240813_180441.jpg
 
Ndio maana ile siku Poor Brain kanipa lift kwenye starlet yake jamaa alikua hata usukani hashiki, ati ni otomatiki inajiendesha yenyewe, daah nikabaki nashangaa tu jamaa akaongeza ati ile starlet yake na Tesla utofauti ni majina tu ila features ni zilezile.

Uzuri niliipiga picha Mad Max nipe madini hapa au Poor Brain aliona mi koro.
Screenshot_20250314-140708~2.jpg
 
Hapana hamna shida. Katika CC yoyote kitendo cha wewe kukanyaga breki unakua umeikatisha inamaanisha inaamini unataka wewe kutake over.

Hamna shida kabisa.
Mzungu akili mingi saaana. Basi tu tunamkosea kumpambanisha na Mchina.
 
Ni ndege ya chini kwelikweli ukiachana na cruise control kuna feature nyingine ya SPORT, SPORT SHARP na PADDLE SHIFTER View attachment 3270067
Mm Nipo na Impreza naona hii kuna baadhi y features wameinyima.. japo naenjoy sport mode, manual and automatic transmission change.. na vi features baadhi vya ziada.

Hakuna majuto kwa ss zaid y ground clearance kuwa ndogo
 
Ndio maana ile siku Poor Brain kanipa lift kwenye starlet yake jamaa alikua hata usukani hashiki, ati ni otomatiki inajiendesha yenyewe, daah nikabaki nashangaa tu jamaa akaongeza ati ile starlet yake na Tesla utofauti ni majina tu ila features ni zilezile.

Uzuri niliipiga picha Mad Max nipe madini hapa au Poor Brain aliona mi koro.
View attachment 3270107
Kawaida tuu mkuu.
Alafu juzi nilipita pale sema nilikua na haraka kidogo nikashindwa hata kukusalimia..

Nikirudi south hv inabidi tuonane mkuu maana kitambo sana
 
Back
Top Bottom