Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
2,081
Reaction score
2,325
Zamani, miaka ya 1983 nikiwa nafanya kazi Mutex, Musoma. Tullikuwa na ofisa mmoja wa ngazi za juu.

Inasemekana alikuwa ni mmoja wa wasomi wachache wa taaluma ya viwanda vya nguo enzi hizo. Tatizo lake lilikuwa moja. Saa zote alikuwa amelewa.

Enzi zile ilikuwa sio rahisi kufukuzwa kazi. Jamaa alikuwa wakati wowote amelewa. Asubuhi akienda kunywa chai lazima asindikize na glasi ya whisk. Wakati mwingine ililazimu apelekewe hati mbalimbali aweke sahihi akiwa baa. Lakini, hakuna aliyemkemea.

Hakuna kiongozi, jirani, wala mfanyakazi mwenzie aliyeweza kumkalisha na kumwambia hii sio nzuri kwa mstakabari wa afya au kazi yako. Niliondoka nikamwacha. Sijui kilichoendelaea.

Kwa sasa kuna watu maarufu, wana majina, wanafanya kazi vizuri lakini maisha yako nyuma ya pazia ni maisha ya ulevi wa kupindukia, umalaya, madawa ya kulevya n.k.

Matokeo yake tunaishia kupoteza vijana watenda kazi ambao kama wangekemewa, kushauriwa, kuambiwa, kuelemishwa labda wangesikia na kubadilika ili kuendana na maisha bora. Lakini tunapowapoteza kunakuwa na mbwembwe nyiiingi kwenye mazishi yao.

Hivi wanapokuwa wanayatenda hayo walio karibu nao hawawezi kuwakemea?
 
Tumekuwa watu wa kusema; Tulijua tuuu hili litatokea!
Lkn Mkuu watu hao wanaambiwa sana tu tatizo wanaakuwa wabishi! Mf. Hapa JF kuna nyuzi ngapi za kumsihi Mhe. Makonda kuwa na mwenendo usio wa kubagaza watu na kukejeli? Je, hazisomi? Kwanini habadiliki? Mkuu unaambiwa Sikio la kufa haliskii dawa.
 
Hata huyu unayemsema G Habbash kuna nyuzi humu zilisema sana na hakuacha.
 
Kila kitu kina muda wake, Siku hizi kulewa pombe kali ni fashion mjini. Watu nimeona wanajenga nyumba na kuweka wine cellar & indor wine bar, na wanapokunywa wanaimba ule wimbo " In heaven there is no beer" na tunaambiwa tuwape maua yao. Usishangae ni nyakati tu, na unaweza kukubali kupitwa uka okoka au uendane na fashion iliyopo nawe ukumbwe na mafuriko.
 
Zamani, miaka ya 1983 nikiwa nafanya kazi Mutex, Musoma. Tullikuwa na ofisa mmoja wa ngazi za juu.

Inasemekana alikuwa ni mmoja wa wasomi wachache wa taaluma ya viwanda vya nguo enzi hizo. Tatizo lake lilikuwa moja. Saa zote alikuwa amelewa.

Enzi zile ilikuwa sio rahisi kufukuzwa kazi. Jamaa alikuwa wakati wowote amelewa. Asubuhi akienda kunywa chai lazima asindikize na glasi ya whisk. Wakati mwingine ililazimu apelekewe hati mbalimbali aweke sahihi akiwa baa. Lakini, hakuna aliyemkemea.

Hakuna kiongozi, jirani, wala mfanyakazi mwenzie aliyeweza kumkalisha na kumwambia hii sio nzuri kwa mstakabari wa afya au kazi yako. Niliondoka nikamwacha. Sijui kilichoendelaea.

Kwa sasa kuna watu maarufu, wana majina, wanafanya kazi vizuri lakini maisha yako nyuma ya pazia ni maisha ya ulevi wa kupindukia, umalaya, madawa ya kulevya n.k.

Matokeo yake tunaishia kupoteza vijana watenda kazi ambao kama wangekemewa, kushauriwa, kuambiwa, kuelemishwa labda wangesikia na kubadilika ili kuendana na maisha bora. Lakini tunapowapoteza kunakuwa na mbwembwe nyiiingi kwenye mazishi yao.

Hivi wanapokuwa wanayatenda hayo walio karibu nao hawawezi kuwakemea?
braza,,mimi mwenyewe nikamka kabla ya kufika ofisini lazma nipige K-NDOGO,nikirudi home na2lia grocey nalamba mpaka nakuwa sawa!!! dunia ina changamoto ambazo usipokuwa ganzi unaweza kuwa chizi!!! 'mapenzi yanazingua,familia zinachanganya,kipato duni"so sora ujidunge ukivuta poa tu,,,wee unafikiri dunia ya leo wazee wanathaminiwa???? mzee akienda ata dukani kuomba chenji wanamkatalia wanasema chuma ulete,,,na kama uunamaisha mabovu unasingiziwa uchawi,kwenye ukoo akifa mtu kiutata unahisiwa wewe,,sasa yote hayo ya nini?
 
Zamani, miaka ya 1983 nikiwa nafanya kazi Mutex, Musoma. Tullikuwa na ofisa mmoja wa ngazi za juu.

Inasemekana alikuwa ni mmoja wa wasomi wachache wa taaluma ya viwanda vya nguo enzi hizo. Tatizo lake lilikuwa moja. Saa zote alikuwa amelewa.

Enzi zile ilikuwa sio rahisi kufukuzwa kazi. Jamaa alikuwa wakati wowote amelewa. Asubuhi akienda kunywa chai lazima asindikize na glasi ya whisk. Wakati mwingine ililazimu apelekewe hati mbalimbali aweke sahihi akiwa baa. Lakini, hakuna aliyemkemea.

Hakuna kiongozi, jirani, wala mfanyakazi mwenzie aliyeweza kumkalisha na kumwambia hii sio nzuri kwa mstakabari wa afya au kazi yako. Niliondoka nikamwacha. Sijui kilichoendelaea.

Kwa sasa kuna watu maarufu, wana majina, wanafanya kazi vizuri lakini maisha yako nyuma ya pazia ni maisha ya ulevi wa kupindukia, umalaya, madawa ya kulevya n.k.

Matokeo yake tunaishia kupoteza vijana watenda kazi ambao kama wangekemewa, kushauriwa, kuambiwa, kuelemishwa labda wangesikia na kubadilika ili kuendana na maisha bora. Lakini tunapowapoteza kunakuwa na mbwembwe nyiiingi kwenye mazishi yao.

Hivi wanapokuwa wanayatenda hayo walio karibu nao hawawezi kuwakemea?
Ukiwa mkweli Sana na mnyoofu, tamhua kuwa Afrika siyo mahali salama kwako kwa kuishi.
 
Back
Top Bottom