Uhai na baki nao ila brand inashuka.Maadamu unabaki na uhai wako shida ipo wapi
We na pesa ni vitu viwili tofauti....usichanganye mambotataizo hawa viumbe hawakukatai mwanzoni. wanakula hela zako ndio shida ilipo
Rekebisha mindsets yako, kwani mahusiano yako huwa ni public.Uhai na baki nao ila brand inashuka.
We jamaa uko kama mimi. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza mwanamke ilikua mwaka gani? Na kwavile sitongozi, sina kumbu kumbu ya kuwahi kukataliwa.Sitongozagi mwanamke ambae Sina uhakika kwamba atanikubalia,
Ndo maana napenda nitengeneze mazingira nimle mbususu kwanza,
Kisha ndo nimwambie kua nilikua nampenda.
Akinikubalia sawa, akinikatalia sawa TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah we noma Kaka! Ila ujue unawaumiza Sana kihisia na huenda wakajiona hawana thamani tena ktk Maisha Yao.Sijui nina roho gani...kuna siku nilimuongelesha dada flani njiani akawa hanijibu nikambembeleza wee lakini kanikazia basi nikaanza kumsema na kasoro zake "mtu mwenyewe mwembamaba halafu mbaya" najua kwa mwanamke hilo tusi linamuuma so inakuwa ngoma droo
Just imagine unamuongelesha vizuri demu then yeye hakujibu...Kwahiyo mimi ndio siumii kihisiaDaah we noma Kaka! Ila ujue unawaumiza Sana kihisia na huenda wakajiona hawana thamani tena ktk Maisha Yao.
Ila huo ni udhaifu mkuu kwakuwa ili ujisikie vizur basi unaona Raha kuwa umiza wengine it's not fair at all, nakuomba ubadilike mkuu,tufanye dunia iwe sehemu nzur ya kuishi
🤣🤣🤣 Umetisha Sana....lkn watu wabishi kama nyinyi huwa mnalipa gharama kubwa Sana ktk mapenzi...unajua mtu anaweza kuwa na wewe kwasababu unakuwa kero kwake,na hii huwatokea Sana wanaume,mwanamke anaamua kuwa na mwanaume ili Tu kupunguza Kero,na ndio hapo mizinga kama yote,najua mwanamke anayekupenda atahitaji umuhudumie lkn atakuwa anakuhurumia vile vile kwakuwa anakupenda.....Ila kwakuwa hakupendi atakukomoa Kwa mizinga mara Kwa mara.Ving'ang'anizi huu uzi hautuhusu.....
Unanikataa??? Kwanini yani? Ntakung'ang'ania hadi ujisikie kero
Yep big boys ndo tunafanya hivyo...tunasoma ramani Kwanza tukiona kuna muelekeo tunatia Timu huku tuna asilimia 99 mpango utaeleweka.We jamaa uko kama mimi. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza mwanamke ilikua mwaka gani? Na kwavile sitongozi, sina kumbu kumbu ya kuwahi kukataliwa.
Mimi nikivutiwa nachukua contact, naanza kujenga mazoea huku nasoma upepo. Ni rahisi sana kumgundua mwanamke ambae hayuko interested. Nikiona haeleweki napunguza mawasiliano nahamishia nguvu kwingine maisha yanaendelea. Mara nyingine utashangaa mwanamke ukimpunguzia mawasiliano yeye anaanza kukutafuta mwisho unamtafuna kirahisi tu.
Exactly. Sema napo ukishaona ana muelekeo hutakiwi kuremba, unatakiwa umle haraka sana kabla akili hazijamkaa sawa maana hawa watu nao vichwa vyao haviko vizuri. Ukikuna nazi hukawii kushangaa anakubadilikia tena.Yep big boys ndo tunafanya hivyo...tunasoma ramani Kwanza tukiona kuna muelekeo tunatia Timu huku tuna asilimia 99 mpango utaeleweka.
.Kwa kufanya hivyo huwa tunakuwa na Amani Sana
We mtu wa nguvu Sana kongole kwako mkuumie sisumbukagi the same day akinikataa namshukuru Sana na nasonga mbele Tena mbele yake nasema umeniepusha na mengi shukran na nikitoka natoka kweli
Umeandika fact yenye material, very goodI am strong enough to let it go haya maneno aliyasema Ngwair Clouds fm baada ya kupigwa mitama na Cheed Benz pamoja na TID.Nyie mnaokataliwa mnaweza kuyatumia pia na maisha yakasonga.