Tujifunze Kukataliwa!

Tujifunze Kukataliwa!

Sitongozagi mwanamke ambae Sina uhakika kwamba atanikubalia,

Ndo maana napenda nitengeneze mazingira nimle mbususu kwanza,
Kisha ndo nimwambie kua nilikua nampenda.

Akinikubalia sawa, akinikatalia sawa TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mie sisumbukagi the same day akinikataa namshukuru Sana na nasonga mbele Tena mbele yake nasema umeniepusha na mengi shukran na nikitoka natoka kweli
 
Hapa tunasema tu, kuna watu wakikutaa it’s okay na kuna watu wakikukataa inauma sana
 
Hivi kwanini kuna hii kauli " huenda kuna mtu mwingine bora zaidi anakuja kwa ajili yako" ????
Mi naona kwamba mtu bora ni ww mwenyewe. Ibadilishwe tu iwe kwamba huwenda alivyokukataa kakufanya ujitambue ugeukie kilichokuketa duniani (life purpose) utumikie ulimwengu kwa weledi mapenzi yatakukuta huko huko kama yakitaka, yasipotaka pia in sha allah
 
Uhai na baki nao ila brand inashuka.
Rekebisha mindsets yako, kwani mahusiano yako huwa ni public.
Pili kuachana sio uadui ujui kesho utamkuta ofisi ipi atakusaida, maisha ni kesho sio leo.
Relationship ya juzi ni asset ya kesho milima haikutani,zimwi likujualo.
 
Kuna gap kubwa namna unavyofikiria, anavyokufkiria na uhalisia. Hapa ndio naamini kila mtu anaishi ulimwengu wake na Kama haupo haupo tu ht iweje
 
Sitongozagi mwanamke ambae Sina uhakika kwamba atanikubalia,

Ndo maana napenda nitengeneze mazingira nimle mbususu kwanza,
Kisha ndo nimwambie kua nilikua nampenda.

Akinikubalia sawa, akinikatalia sawa TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa uko kama mimi. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza mwanamke ilikua mwaka gani? Na kwavile sitongozi, sina kumbu kumbu ya kuwahi kukataliwa.

Mimi nikivutiwa nachukua contact, naanza kujenga mazoea huku nasoma upepo. Ni rahisi sana kumgundua mwanamke ambae hayuko interested. Nikiona haeleweki napunguza mawasiliano nahamishia nguvu kwingine maisha yanaendelea. Mara nyingine utashangaa mwanamke ukimpunguzia mawasiliano yeye anaanza kukutafuta mwisho unamtafuna kirahisi tu.
 
Sijui nina roho gani...kuna siku nilimuongelesha dada flani njiani akawa hanijibu nikambembeleza wee lakini kanikazia basi nikaanza kumsema na kasoro zake "mtu mwenyewe mwembamaba halafu mbaya" najua kwa mwanamke hilo tusi linamuuma so inakuwa ngoma droo
Daah we noma Kaka! Ila ujue unawaumiza Sana kihisia na huenda wakajiona hawana thamani tena ktk Maisha Yao.

Ila huo ni udhaifu mkuu kwakuwa ili ujisikie vizur basi unaona Raha kuwa umiza wengine it's not fair at all, nakuomba ubadilike mkuu,tufanye dunia iwe sehemu nzur ya kuishi
 
Just imagine unamuongelesha vizuri demu then yeye hakujibu...Kwahiyo mimi ndio siumii kihisia
 
Ving'ang'anizi huu uzi hautuhusu.....

Unanikataa??? Kwanini yani? Ntakung'ang'ania hadi ujisikie kero
🤣🤣🤣 Umetisha Sana....lkn watu wabishi kama nyinyi huwa mnalipa gharama kubwa Sana ktk mapenzi...unajua mtu anaweza kuwa na wewe kwasababu unakuwa kero kwake,na hii huwatokea Sana wanaume,mwanamke anaamua kuwa na mwanaume ili Tu kupunguza Kero,na ndio hapo mizinga kama yote,najua mwanamke anayekupenda atahitaji umuhudumie lkn atakuwa anakuhurumia vile vile kwakuwa anakupenda.....Ila kwakuwa hakupendi atakukomoa Kwa mizinga mara Kwa mara.

Pili kwakuwa hakupendi ndo unaona hata mawasiliano yenu yanakuwa ya upande mmoja,wewe mbishi ndo wa kuanza kumjulia Hali kila siku,yaan usipomtafuta wewe nawe hakutafuti so ya nn yote hayo!
 
We jamaa uko kama mimi. Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza mwanamke ilikua mwaka gani? Na kwavile sitongozi, sina kumbu kumbu ya kuwahi kukataliwa.

Mimi nikivutiwa nachukua contact, naanza kujenga mazoea huku nasoma upepo. Ni rahisi sana kumgundua mwanamke ambae hayuko interested. Nikiona haeleweki napunguza mawasiliano nahamishia nguvu kwingine maisha yanaendelea. Mara nyingine utashangaa mwanamke ukimpunguzia mawasiliano yeye anaanza kukutafuta mwisho unamtafuna kirahisi tu.
Yep big boys ndo tunafanya hivyo...tunasoma ramani Kwanza tukiona kuna muelekeo tunatia Timu huku tuna asilimia 99 mpango utaeleweka.
.Kwa kufanya hivyo huwa tunakuwa na Amani Sana
 
Yep big boys ndo tunafanya hivyo...tunasoma ramani Kwanza tukiona kuna muelekeo tunatia Timu huku tuna asilimia 99 mpango utaeleweka.
.Kwa kufanya hivyo huwa tunakuwa na Amani Sana
Exactly. Sema napo ukishaona ana muelekeo hutakiwi kuremba, unatakiwa umle haraka sana kabla akili hazijamkaa sawa maana hawa watu nao vichwa vyao haviko vizuri. Ukikuna nazi hukawii kushangaa anakubadilikia tena.
 
mie sisumbukagi the same day akinikataa namshukuru Sana na nasonga mbele Tena mbele yake nasema umeniepusha na mengi shukran na nikitoka natoka kweli
We mtu wa nguvu Sana kongole kwako mkuu
 
Back
Top Bottom