Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Asante, yani acha tu..Pole sana utazoea tu ,kasheshe kama mna onana yaani mpo karibu hapo Mama pretty rangi zote utaziona vizuri.Pole kwa mara nyingine tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, yani acha tu..Pole sana utazoea tu ,kasheshe kama mna onana yaani mpo karibu hapo Mama pretty rangi zote utaziona vizuri.Pole kwa mara nyingine tena.
Mwingine nani????Sijawahi kujidharau wala kujichukulia poa hata kidogo, principle yangu siku zote hua ni kama sio bora kwako basi nitakua bora zaidi kwa mwingine.....
Ni kwel inaumiza lkn unatakiwa ukaze roho na usonge mbele,na hiyo ndo sign ya Kwanza kuonyesha huyo mtu hayupo interested,na pili si lazima mtu akuitikie salam yako....kwahiyo yakitokea hayo we Kausha Tu mkuuJust imagine unamuongelesha vizuri demu then yeye hakujibu...Kwahiyo mimi ndio siumii kihisia
Hiyo mbona ishawahi nitokea mkuu....shori nikamchek ktk darubin nikamuona yupo ktk target....sasa nikaleta zile za kwenye movie,tunatoka out mara Kwa mara ,kumbe shori inaelekea alikuwa anataka aliwe mi sikujua nikawa natake time,daah baadae naona mawasiliano yanapungua,nikajiongeza nikawa simtafuti, daah baadae napita zangu kariakoo namuona ana mimba,nikashukuru munguExactly. Sema napo ukishaona ana muelekeo hutakiwi kuremba, unatakiwa umle haraka sana kabla akili hazijamkaa sawa maana hawa watu nao vichwa vyao haviko vizuri. Ukikuna nazi hukawii kushangaa anakubadilikia tena.
Kweli kakaAny relationship ni future assets ni hazina ya baadae japo inauma lakini utakiwi kufanya action yeyeto ukizidiwa na maumivu inashauriwa hama eneo au mkoa ukareflesh. Wapo watu wengi sana wamepewa connection za maisha na ma ex wao. Yupo boss mmoja ni mkuu wa idara nyeti alikuwa ni kiportable cha jamaa aliyekuwa swahiba wa jiwe jamaa akampigia pande kwa jiwe leo ni mkurugenzi sababu ya kuishi vyema. Ex hawezi kukutupa au kukunyima connection usitazame leo, maumivu ya jana ndio furaha ya kesho. So nawashauri msifanyiane ubaya akikuacha mtu.
Ni kweli lkn sasa inategemea je unataka mbususu Tu au laa,kama ni mbususu hiyo mbinu ya kivita ni sahihi lkn kama unataka mtu ambaye utakuwa nae hiyo mbinu sio sahihiKaka usipotanguliza pesa vita inakuwa ya muda mrefu sana na uwezekano wa kupata mbususu ni close to zero.
Prolonged warfare hainaga faida.
Ah mie nataka mbususu tuu mwanawane. Story za malove utaishi kuua na kujiua. Maisha matamu maana unaona warembo waliojaa mzeya unaondokaje duniani unaacha kula mbususuNi kweli lkn sasa inategemea je unataka mbususu Tu au laa,kama ni mbususu hiyo mbinu ya kivita ni sahihi lkn kama unataka mtu ambaye utakuwa nae hiyo mbinu sio sahihi
💪💪💪....point mkuuIts never sweet to be rejected by the ones you love, but sometimes for your own value,you have to let them go, your not for every one. You can only attract of your kind.
🤣🤣🤣...Sawa mkuuAh mie nataka mbususu tuu mwanawane. Story za malove utaishi kuua na kujiua. Maisha matamu maana unaona warembo waliojaa mzeya unaondokaje duniani unaacha kula mbususu
We kweli mbishi nimekuvulia kofiaHata asiponitafuta mi nnachojua tupo wote sideti peke angu
Ooh pole jamani....ndo Maisha yalivyo bwana, ebu jiulize kabla haujakutana ulikuwa na furaha na Amani au ulikuwa na maumivu,jibu ulikuwa na furaha na Amani au sio....Sasa iweje huyo mtu umekutana naye ukubwani hlf akufanye ukosefu furaha kabisa.Mtoa uzi umenilenga, au umetumwa?
Kukataliwa kunauma sana.. maumivu yake ni makali mno.. nasoma comments roho ikiwa inaniuma sana... ila nyie wanaume Mungu anawaona 🙌🙌🙌😓😓😓
👏🏻👏🏻👏🏻Kubali kuwa vitu fulani huna na usonge mbele na ujifunze kuridhika kwa ulichonacho
Kusonga mbele bila manung'uniko ni sehemu mojawapo ya kujijali
✍🏻✍🏻Ni kwel inaumiza lkn unatakiwa ukaze roho na usonge mbele,na hiyo ndo sign ya Kwanza kuonyesha huyo mtu hayupo interested,na pili si lazima mtu akuitikie salam yako....kwahiyo yakitokea hayo we Kausha Tu mkuu
Ah nilikuwa naumizwa tuu kabla sijawajulia hawa warembo. Nikaja kugundua hawa warembo wanapenda bad boys na money basi
Uhakika ila umri nao unatembea lazima uoe ili upate nafasi ya kuutengeneza ufalme wako. Au tuchakatane tu mpaka uzeeniAh nilikuwa naumizwa tuu kabla sijawajulia hawa warembo. Nikaja kugundua hawa warembo wanapenda bad boys na money basi
Yatapita Mda ndio tiba Bora kabisa, na Acha kujiuliza kwanini kanifanyia hivi? Ukishajiuliza hivyo maumivu hayataisha mapema,kubali Tu haikuwa fate yenu kuwa pamoja,fikiria mambo positive juu yako,amini utapata atakaye kuthamini na kukuenzi,jua unastahili kilicho BoraAsante, yani acha tu..
Ndugu yangu nisikudanganye mie haya maswala ya sijui kujenga ufalme wako is not wat makes me happy. Sina mpango wa kuwa na watoto. Mie nataka kula mbususu tuu thats wat makes me happyUhakika ila umri nao unatembea lazima uoe ili upate nafasi ya kuutengeneza ufalme wako. Au tuchakatane tu mpaka uzeeni
Kumbe.Ndugu yangu nisikudanganye mie haya maswala ya sijui kujenga ufalme wako is not wat makes me happy. Sina mpango wa kuwa na watoto. Mie nataka kula mbususu tuu thats wat makes me happy
Mtu kazi kama Mandonga 🤣🤣🤣