TUjifunze kukubali ukweli

TUjifunze kukubali ukweli

DA naomba kujua hvyo vyeti ni vya krinik,kuzaliwa?
 
Nimepita hapa kuwasalimu na kuwaulizeni kama mnaukubali ukweli.

Maty hebu twende kule tafazali.:rain:
 
Huyo jamaa kweli alifanya utafiti wa kutosha kabla ya kufikia conclusion hiyo?Nafikiri hapa hasira zilitawala zaidi hata kama kulikuwa na ukweli.Ila mpango wa kuchomeana vyeti,nguo na kuharibu laptop hata sio mpango kabisa.

Jamaa akijirudi je atarudi kuwa mpenzi wake ilihali ameshafanya uharibifu wa aina hii. Style za kuharibiana vitu kisa penzi limefika mwisho mie naliona la kishamba shamba hivi.
 
Jamaa akijirudi je atarudi kuwa mpenzi wake ilihali ameshafanya uharibifu wa aina hii. Style za kuharibiana vitu kisa penzi limefika mwisho mie naliona la kishamba shamba hivi.

DaMie nakutafuta.......:usa2:
 
Nimepita hapa kuwasalimu na kuwaulizeni kama mnaukubali ukweli.

Maty hebu twende kule tafazali.:rain:

Babu huku umikuja kufanya nini si nimekuacha umelala wewe
 
Je kwa wale wanaowafanyia fujo wale walio waacha hp nawazungumzia wanaume tena hawa ndo hua wasumbufu hawataki kbs kukubali ukweli.ubabe mwingi
 
Je kwa wale wanaowafanyia fujo wale walio waacha hp nawazungumzia wanaume tena hawa ndo hua wasumbufu hawataki kbs kukubali ukweli.ubabe mwingi

Kuachwa ni kuachwa tu bana mie nikishasema ni no return
 
tusiseme mwanaume kapenda machoni tu, inawezekana tabia za msichana ni mbaya sana na mwanume amevumilia amechoka, ameamua liwalo na liwe bora tuachane, unajua uvumilivu una mwisho, na ukute pamoja na kumuacha bado anampenda ndo maana allikubali hata kuja kuongea naye mara ya pili, ile kukubali kuongea naye tu inaonyesha bado anampenda, ila nina wasiwasi msichana alipofika hapoa alianza kashfa na matusi akasahau kilichompeleka.
 
Back
Top Bottom