Tujifunze kumpenda Mungu sio kumjaribu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Wakati huu wa kwaresma ni wakati wa kukumbuka pamoja na kwamba Mwenyezi Mungu anatulinda tusimjaribu. Mungu ametupa uwezo wa kujua na kugundua dawa hivyo tusiache kutumia na kusubiri Mungu.

Kwa ufupi kumjaribu Mungu sio swala zuri na kuwaambia watu waache kufuata njia za kinga kama kutumia neti za mbu, chanjo mbalimbali, dawa sio sawa.

Badala ya kubishana na Mungu tutumie muda mwingi kusikiliza sauti yake anasema nini. Kwa Mungu hakuna mipaka hivyo ukiomba kwa mipaka na kufikiri Tanzania pekee ndiyo itasaidiwa sio sawa Mungu hana mipaka ya nchi.

Mungu anajali watu na mipaka ni jambo ya kisiasa sio la utu


wa taarifa tuliyopata kwa wale tuliomjua Magufuli na kujuana kifamilia ni kwamba Covid ilisababisha pacemaker yake isifanye kazi na mapigo ya moyo kuanza kwenye juu sana na chini sana na kusababisha stroke.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Hii ilikuwa ni kuchanganya dini na siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…