Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Kwa habari ya wanawake wa kijita nikushauri kuwa positive! Kama wewe ni mjita rudi ujitani ukaelimishe wajita wenzio kuachana na mila na desturi hizo za hovyo! Usipoteze muda na nguvu zako nyingi kununa badala yake wekeza muda na nguvu zako kubadilisha mila na desturi zenu!Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana.
Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila sababu?
Sisi wengine tunapenda Kila mtu kila Kabila pasi kuangalia mabaya yake kwa sababu kila mtu ana Mazuri/mabaya yake.
Hivi kweli mwanaume unaweza kuandika thread ya kushauri watu wachukie mtu/kabila fulani?
Unataka kuoa sehemu Fulani au MTU Fulani Nenda kaoe basi tuone kama utapata hiyo furaha .OVER
ChukiKwa habari ya wanawake wa kijita nikushauri kuwa positive! Kama wewe ni mjita rudi ujitani ukaelimishe wajita wenzio kuachana na mila na desturi hizo za hovyo! Usipoteze muda na nguvu zako nyingi kununa badala yake wekeza muda na nguvu zako kubadilisha mila na desturi zenu!
Kwa upande wetu tunamshukuru Mungu kwa angalizo alilotupatia ndugu yetu yule! Mungu ambariki sana! Ikibidi aendelee kumulika na makabila mengine ili kuepusha matatizo mbalimbali ya ndoa! Na akiandika kitabu katika hili, tutakinunua!
Mbadilike wajita!