Tujifunze kusamehe

Tujifunze kusamehe

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Watu wamekuwa wagumu sana kusamehe wenzao na kuwaona ni wadhambi ,wakosefu,,dini inatufundisha tusameheane utukufu uwe nasii pamoja,yule mwanamke aliepelekwa kwa Yesu na kusemwa ni kahaba ,alipiga magoti mbele ya Yesu na kulia machozi yakadondoka kwenye miguu ya Yesu kishs akachukua nywele zake na kufuta miguu ya Yesu ndipo Yesu akasema ni nani msafi kati yenu na amponde mawe huyu mwanamke,alipoinua Uso kuangalia hakuna hata mmoja aliebakia wote waliondoka
Tujifunze kusamehe na nyie mtasamehewa,naaminu sisi wote si watimilifu
Samehe saba mara sabini 7 x70
 
Naomba tumsamehe ndugu Peter Kalihose kwa kumtuna Edward Lowassa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015.(Kwa niaba yake).
Apumzike kwa Amani ndugu Peter Kalihose
 
Back
Top Bottom