Kwa maana hiyo mwanaume hawezi vumilia sio... Ndo maana nikasema kila mmoja ana nafasi yake kwenye ndoa, hamna aliye mkamilifu tunavumilianaSuala ni kwamba kama mwanamke hajaamua ndoa haiwezi vunjika atavumilia yote hata kama mumewe
Ni kichomi
DJ sepetu
Eti eee.Anapaswa kuwa nao ila nature haijatu endorse sana
DJ sepetu
Huo mzigoo ni upi sasa.. Ni majukumu kama yalivyo mengine... Ila msifanye makusudi kisa eti mwanamke ni mvumilivuNafasi zipo ila haziwezi kuwa balanced!
Mzigo mkubwa anao mwanamke
DJ sepetu
Mfano kwa wale wenye mke zaidi ya mmoja za kimila au kidiniHuo mzigoo ni upi sasa.. Ni majukumu kama yalivyo mengine... Ila msifanye makusudi kisa eti mwanamke ni mvumilivu
Sawa kabisaMaisha ya ndoa hayana formula, kila mmoja ana mchango mkubwa kuhakikisha ndoa ina dumu katika amani, furaha na upendo pia... Sio mwanamke tuu bali hata mwanaume ana nafasi kubwa katika kuhakikisha upendo na amani havikauki kwenye nyumba yake
Kumbe uvumilivu unaousemea ndo huo... Hamna mwanamke anaependa kuona mumewe ana mwanamke mwingine, ni sababu tuu ni sheria za kidini au kimila... Lakini kwa wanaume waelewa hawafuati hizo mila wala sheria sijui za dini... Sio kwa sababu hawawezi ni sababu wanajali hisia za wenza wao na ndo uvumilivu unajitokeza hapo sasa kwa mwanaume....Mfano kwa wale wenye mke zaidi ya mmoja za kimila au kidini
Unajisikiaje Ukiwa unaandaa harusi ya mke mwenzio au unasubiri tatu
Hili linahitaji super woman
Ambapo wengi hawako ivyo!
DJ sepetu
Ina maana babu zetu waliokuwa Na dozen za wake hawakua Na hisia za kujaliKumbe uvumilivu unaousemea ndo huo... Hamna mwanamke anaependa kuona mumewe ana mwanamke mwingine, ni sababu tuu ni sheria za kidini au kimila... Lakini kwa wanaume waelewa hawafuati hizo mila wala sheria sijui za dini... Sio kwa sababu hawawezi ni sababu wanajali hisia za wenza wao na ndo uvumilivu unajitokeza hapo sasa kwa mwanaume....
Walikuwa hawajali ndio, wao walithamini mila zaidi... Ndo maana nimesema usitumie kigezo cha mwanamke ni mvumilivu zaidi.... Ukandamizaji unaanzia hapoooIna maana babu zetu waliokuwa Na dozen za wake hawakua Na hisia za kujali
You miss the point some where we can't be equal!
DJ sepetu
Aisee! Nina drive eneo lina tatizo la mtandao nikifika eneo zuri nitakujibuWalikuwa hawajali ndio, wao walithamini mila zaidi... Ndo maana nimesema usitumie kigezo cha mwanamke ni mvumilivu zaidi.... Ukandamizaji unaanzia hapooo
Hata sina mkuu mana ulishaanza kusema nature haija wa endorse.You got the point
DJ sepetu
Hahaha hahaha sawa sawaUtaratibu upo palepale akichepuka hata km nilimuoa Jana anarudi kwao! sasa hivi nategemea kuoa mke wa 3 wengine washarudi kwao.
Mwanamme ana jukumu kubwa zaidi kuhakikisha utulivu mapenzi na amani vinapatikana katika nyumba.Sawa kabisa!!
Kivipi
DJ sepetu
Kasoro yako hadi achepuke....
DJ sepetu
Kasoro yako hadi achepuke....
DJ sepetu
Kasoro yako hadi achepuke....
DJ sepetu
Kasoro yako hadi achepuke....
DJ sepetu
Kwa kweli huu ndio utaratibu niliyojiwekea mengine yote nimeapa kuyavumilia ila hili la kugawa tunda hapana aisee namuona kama gari la majitaka!Kasoro yako hadi achepuke....
DJ sepetu