Tujifunze kushi Na wanawake

Tujifunze kushi Na wanawake

Uvumilivu ni tunda la Roho,btw naunga mkono hoja kina palipo na maendeleo,amani ya mwanaume nyuma yake kuna mkono imara wa mwanamke. Kuishi vizuri na mwanamke tunajifunzia kwa mama zetu maana ndiyo first ladies of our life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom