N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,491 Reaction score 8,304 Aug 13, 2017 #41 Uvumilivu ni tunda la Roho,btw naunga mkono hoja kina palipo na maendeleo,amani ya mwanaume nyuma yake kuna mkono imara wa mwanamke. Kuishi vizuri na mwanamke tunajifunzia kwa mama zetu maana ndiyo first ladies of our life. Sent using Jamii Forums mobile app
Uvumilivu ni tunda la Roho,btw naunga mkono hoja kina palipo na maendeleo,amani ya mwanaume nyuma yake kuna mkono imara wa mwanamke. Kuishi vizuri na mwanamke tunajifunzia kwa mama zetu maana ndiyo first ladies of our life. Sent using Jamii Forums mobile app