Tujifunze kutafuta 'connection' kwa watu na si kuomba pesa

Tujifunze kutafuta 'connection' kwa watu na si kuomba pesa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Kutokana na ugumu wa Maisha hasa Tanzania ni Bora uombe connection ya Kazi kuliko PESA.

Maana kuweka Vocha ya mia tano ili umpigie Mtu akitumie elfu moja hiyo Biashara hailipi Kabisa.

Ukitaka Mwanaume smart na marafiki smart usiombe pesa omba Kazi

Naongea hivi kwasababu Kuna Jamaa yangu kapewa block na Mh Mbunge kisa kumuomba omba hela, wakati mh alimwambia ampatie vyeti ili amtaftie Kazi Sasa Kazi kakosa na connection na Mh kaharibu.

Tujifunze kutafta connection kwa watu na sio kuomba fedha.
 
Back
Top Bottom