comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hahahaaaaa!!!Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU
leo nmemfunza kitu huyu bodaboda.
Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa.
Alivyokata nikamtumia sms nikamwambia "Najua una imani yako lakini angalia na maisha yako, bei ya mafuta imepanda, badala ya elfu 2 mimi naongeza sifuri nakupa elfu20 tupeane sapoti kipindi hichi petrol ipo juu"
Baada ya message kua delivered boda alinipigia chap akaniambia 'nikaichukulie wapiii kaakaaa!" Nikamuelekeza akaenda!
Mbona alienda na akaleta kitimoto vizuri tuu na kibarakashia kichwani, tena na shukran nyingi kwa kumpa pesa ndefu!
Acheni hizo
Maskini hana kiapoMsimamo ni mzuri, lakini msimamo unaoleta njaa ni ujinga.
SawaSijamuona mtoaji wa 20k baada ya 2k
Vichaa haoKuna wale wasabato, Ikifika Ijumaa jioni, Kama kuna mzigo unamfanyia derivery - Haupokei kwa sababu sabato imeanza..
Nilistaajabu kwa kweli.
Kaka umenikumbusha wasabato nilio kua nafanaya nao kazi wanamsemo wao eti kupumzika, utasikia, sifanyi kazi ingine naenda kupumzika hahahahKuna wale wasabato, Ikifika Ijumaa jioni, Kama kuna mzigo unamfanyia derivery - Haupokei kwa sababu sabato imeanza..
Nilistaajabu kwa kweli.
Hukumuuliza vipi umeonja? Akajibu hapana kaaakaa haya onja finyango 7 kila finyango nakupa 1,000 angalia mafuta yamepanda hii 7,000 ndio wanayopewa wale vijana wa Lumumba vipi unachukua finyango au unaacha? Akajibu aah sawa kaaakaa leta nipige wewe ukitaka hata 10 mimi napiga mjini kikubwa heka leta niipige hio kitimoto kaaakaaa.. akakaa chini akaanza kuipiga kitimoto, nikamuuliza kwani finyango zote zipo ngapi? Akahesabu kuna finyango km 25 kaaakaa sawa basi piga finyango zote nakupa 25,000. Akasema sawa kaaaka wewe niandalie hio 25 namaliza hii mboni sio nyingi vipi naweza kufuata nyingine kaaaka?Mbona alienda na akaleta kitimoto vizuri tuu na kibarakashia kichwani, tena na shukran nyingi kwa kumpa pesa ndefu!
😁Hukumuuliza vipi umeonja? Akajibu hapana kaaakaa haya onja finyango 7 kila finyango nakupa 1,000 angalia mafuta yamepanda hii 7,000 ndio wanayopewa wale vijana wa Lumumba vipi unachukua finyango au unaacha? Akajibu aah sawa kaaakaa leta nipige wewe ukitaka hata 10 mimi napiga mjini kikubwa heka leta niipige hio kitimoto kaaakaaa.. akakaa chini akaanza kuipiga kitimoto, nikamuuliza kwani finyango zote zipo ngapi? Akahesabu kuna finyango km 25 kaaakaa sawa basi piga finyango zote nakupa 25,000. Akasema sawa kaaaka wewe niandalie hio 25 namaliza hii mboni sio nyingi vipi naweza kufuata nyingine kaaaka?
Mwishoni mwa mwaka jana walijikuta hivyo hivyo et muslimLinapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU