Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kwa wale mliofika japani au tusiende mbali sana miaka ya nyuma kabla zimbabwe ijapotea kisiasa ilikuwa nchi bora sana kwa wazazi waliotembea kuwapeleka watoto wao.
Nitarudi nchi ya japani sababu ndio inaonyesha kuwa makini na watoto (samaki mkunje bado m'bichi).Japani wanaogopa sana kuzaa ,sio sababu ya kuogopa maana utakuwa umejiweka ulazima wa kumtengeneza mtoto miaka ya mbele ili kulinda heshima yako.
Japani wanaangalia watoto sana kuanzia malezi,shule na vipaji vyao ili mbeleni wasije kupata tabu kama inayotokea hapa afrika kufahamu mtu yupi ? ni nani ? , huku ufahamu tabia zake wale historia yake.
Kama tutaweza kuzingatia msingi wa mtoto basi mbeleni tutapata watu wenye kulifikisha taifa na afrika mbali.
"Msingi wa mtoto ni kama msingi wa nyumba na gorofa"