Tujifunze kwa Maendeleo ya Watu

Tujifunze kwa Maendeleo ya Watu

YNY

New Member
Joined
Jun 2, 2023
Posts
3
Reaction score
5
Hii ni kauli mbiu ya Chuo Kikuu Mzumbe S.L.P.1 Mororgoro, Tanzania. kutokana na hii kauli mbiu imewafanya viongozi wengi ambao wamepitia katika chuo hiki kuwa na hamu pamoja na uchungu katika kuleta maendeleo kwa wananchi hasa wale wenye uhitaji zaidi na hawana mtu wa kuwasemea changamoto zao.

Lakini hii haimaanishi kuwa vyuo vingine havitoi viongozi bora la hasha, Lakini viongozi ambao wametokea Chuo Kikuu Mzumbe hawajawahi kutuangusha.

Yote kwa yote, Mungu wabariki viongozi wetu wa Tanzania, pamoja na watu wake.

Mungu ibariki Tanzania na Afrika yote.

Karibuni sana Chuo Kikuu Mzumbe.

1685875295002.png
 
Back
Top Bottom