Tujifunze kwa tunayo yaona na elimu yetu

chatts55

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
600
Reaction score
97
Wengi wetu tunatarajia kwenda vyuoni,haijalishi ni chuo gani.Waliomaliza vyuo na kuanza maisha katika ajira zao tunaona mambo wanayofanya ya wizi,ufisadi na dhuluma kwa wanyonge ambao hawakubahatika kwenda shule.
Kwa sababu tunayaona hayo sisi ambao ni wasomi wa taifa la kesho tuna sababu ya kipindisha uovu unaofanywa na wasomi waliotutangulia kwa kutenda mema kwa maadili ya kazi tutazofanya kulingana na elimu zetu.
Tuwe wazalendo wakweli kwa kutumia elimu tutayoipata kwa manufaa ya Umma na taifa letu na tuache kurumbana tena kuhusu vyuo
Tulipe heahima inayostahili Jukwaa hili.

NIMEWASIRISHA:
 
Kweli hili jukwaa linastahili heshima kwasababu wengi pia tulipata msaada kutoka kwa watu tofaut tofaut ndani ya hili jukwaa, iweje leo hii tuligeuze sehemu ya Malumbano ya vyuo yasiyo na msingi.Umechaguliwa chuo kikubwa labda UDSM,SUA,MZUMBE n.k ni sawaa kwanini umdharau aliyechaguliwa TEKU,IFM,TIA,MUCCOBS..na unamdharau kwa misingi ipi? je hapo alipochaguliwa watu hawapati elimu bora? na je, kwan hcho chuo hakitambuliki na serikali ? Ama ,akisoma hapo ajira hatapata au? . na je? akisoma hapo hatohitimu ama!!
Umechaguliwa kwenye chuo kizuri sawa tunakubali chukua time yako kumshukuru Mungu kwa kuwa umepata Chuo na sio umuone mwngne hana maana kwan kwenye ajira pia anaeza kuwa Boss wako.
"we are intellectuals we should think twice"
 
Let us make them change kimtazamo Allen,
and realize that, this is not a Facebook platform
 
Hata siku za kuzaliwa zilikua tofauti hivyo ukipata mshukuru mungu kwani hata maandiko ya kidini yanatuasa tushukuru kwa kila jambo pia maisha ni popote
ila
SIO CHOONI SASA
 
Back
Top Bottom