chatts55
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 600
- 97
Wengi wetu tunatarajia kwenda vyuoni,haijalishi ni chuo gani.Waliomaliza vyuo na kuanza maisha katika ajira zao tunaona mambo wanayofanya ya wizi,ufisadi na dhuluma kwa wanyonge ambao hawakubahatika kwenda shule.
Kwa sababu tunayaona hayo sisi ambao ni wasomi wa taifa la kesho tuna sababu ya kipindisha uovu unaofanywa na wasomi waliotutangulia kwa kutenda mema kwa maadili ya kazi tutazofanya kulingana na elimu zetu.
Tuwe wazalendo wakweli kwa kutumia elimu tutayoipata kwa manufaa ya Umma na taifa letu na tuache kurumbana tena kuhusu vyuo
Tulipe heahima inayostahili Jukwaa hili.
NIMEWASIRISHA: