Tujifunze kwa Yusufu Baba wa Yesu

Tujifunze kwa Yusufu Baba wa Yesu

Ester505

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
793
Reaction score
1,049
Kama YUSUFU alimlea YESU,

Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA.

Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu.

Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani.

Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu.

NIKO PALE NIMEKAA NASUBIRI MAPOVU YENU.
 
Ngoja kwanza.kuna kitu umeruka hapo.

Yusufu alitaka kumkimbia Maria baada ya kugundua ni mjamzito, Maria ashukuru malaika maana ndio alimpooza jamaa ndotoni.

Hivyo Yusufu alifahamu kabisa analwenda kulea mtoto asiye wake, tofauti na sasa watu wanataka kupima DNA ili wafahamu wanalea mtoto wa nani wake au wa mkewe na njemba flani

Kifupi kama mtoto sio wako kimbia ausubiri maagizo kutoka kwa malaika kama Yusufu alivyoagizwa.
 
Kama Mungu alimkataza YUSUFU,hata wewe MUNGU ANAKUKATAZA KUKIMBIA.
 
WEWE NI BOGAZ

Baada ya Maria kupata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu, Yusuf mwenyewe alitaka kumwacha Maria kwa siri kwa sababu hakutak kuoa single mother hadi malaika wa Mungu akaingilia kati ndio Yusuf akawa mpole tu.

99.9999% ya single mothers wana mlengo yao ya muda mfupi na lengo kubwa likiwa kulea watoto wao wakue, so ukishamkuzia na mtoto akawaza kutafuta na kumlisha mama yake basi, lengo la single mother linakua limetimia kwako.

Single mother akiwa na mtoto wa kike ni tabu tupu, kuna jamaa alileta uzi humu alisingiziwa na mkewe amembaka mtoto wa single mother wake jamaa akaswekwa ndani. Single mama akiwa na mtoto wa kiume, huyo mtoto akianza kupata akili hawezi kukupenda kabisa kwa sababu unamla mama yake.

Furaha ya mwanamke bi watoto wake single mother hawezi kumsahau mwanaume aliyempa furaha ya mtoto wake wa kwanza, unless awe amekufa. Nyuzi za ushahidi zipo humu.

Oa mwanamke fresh na usiwe na mpango wa kutengana nae unless aharibu mwenyewe
 
WEWE NI BOGAZ

Baada ya Maria kupata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu, Yusuf mwenyewe alitaka kumwacha Maria kwa siri kwa sababu hakutak kuoa single mother hadi malaika wa Mungu akaingilia kati ndio Yusuf akawa mpole tu...
Inavyoelekea wewe NI mtafiti mzuri saana.haya njoo na matokeo ya utafiti wako hapa kuhusu singo mama.
CHA PILI MUNGU ALIMKATAZA YUSUFU LIWE FUNZO KWA WATU WENGINE.
 
Hii ni DHIHAKA au Uko serious?unajua dhambi ya kumdhihaki roho mtakatifu ni mbaya kiasi gani?watu wafanye uzinzi wapelekee mimba nyumbani halafu wewe ufananishe na kesi ya Yesu..?
Sijafanya dhihaka Ila nawakumbusha watu waache waache kusema vibaya.Mungu hapendi kuachana.
 
Tatizo ni uongo !😅😅ukijua umetapeliwa basi kinachofuata ni vurugu.

Mbona tunalea watoto wa ndugu zetu ,tatizo ni kudanganywa kwa utapeli eti huyu ni mwanao.
 
WEWE NI BOGAZ

Baada ya Maria kupata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu, Yusuf mwenyewe alitaka kumwacha Maria kwa siri kwa sababu hakutak kuoa single mother hadi malaika wa Mungu akaingilia kati ndio Yusuf akawa mpole tu.

99.9999% ya single mothers wana mlengo yao ya muda mfupi na lengo kubwa likiwa kulea watoto wao wakue, so ukishamkuzia na mtoto akawaza kutafuta na kumlisha mama yake basi, lengo la single mother linakua limetimia kwako.

Single mother akiwa na mtoto wa kike ni tabu tupu, kuna jamaa alileta uzi humu alisingiziwa na mkewe amembaka mtoto wa single mother wake jamaa akaswekwa ndani. Single mama akiwa na mtoto wa kiume, huyo mtoto akianza kupata akili hawezi kukupenda kabisa kwa sababu unamla mama yake.

Furaha ya mwanamke bi watoto wake single mother hawezi kumsahau mwanaume aliyempa furaha ya mtoto wake wa kwanza, unless awe amekufa. Nyuzi za ushahidi zipo humu.

Oa mwanamke fresh na usiwe na mpango wa kutengana nae unless aharibu mwenyewe
Sidhani Kama anaongelea single mother ni kama anaongelea mimba za ndani ya ndoa ndio watoto wanatakiwaga wapimwe DNA
 
Poa mkuu mkeo akipata mimba isiyo yako akikwambia amepata kwa uwezo wa roho mtakatifu we mpokee tu

Hatuwezi fanana we ukiamua kuwa boya kama Joseph Ni wewe
 
Poa mkuu mkeo akipata mimba isiyo yako akikwambia amepata kwa uwezo wa roho mtakatifu we mpokee tu

Hatuwezi fanana we ukiamua kuwa boya kama Joseph Ni wewe
Wasichokijua hata huyo Yesu kuanzia kuzaliwa hadi kupaa kwakwe, watu walikaa wakasuka namna gan Yesu asomeke mbele za watu
 
Wasichokijua hata huyo Yesu kuanzia kuzaliwa hadi kupaa kwakwe, watu walikaa wakasuka namna gan Yesu asomeke mbele za watu
Yaani kiufupi hakuna mwanaume anakubali kulea bao la mwenzake tena awe na ushahidi kabisa haiwezekani

Labda akukute na mtoto anaweza mlea
 
Yaani kiufupi hakuna mwanaume anakubali kulea bao la mwenzake tena awe na ushahidi kabisa haiwezekani

Labda akukute na mtoto anaweza mlea
Moja na mbili vyote ni ujinga tu. Kuna mud huwa najihisi sina roho ya kibinadam kama watu wengine. Huwa nashindwa kabisa kupata hisia za kumpenda mtoto wa mwanaume mwenzangu kama mwanangu. Kila niki imagine nashindwa kabisa, namuona kama mtoto wengine yeyote tu
 
Mathayo 1:19
[19]Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.
Then Joseph her husband, being a just man, and not willing to make her a public example, was minded to put her away privily.
 
Kama YUSUFU alimlea YESU,

Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA.

Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu.

Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani.

Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu.

NIKO PALE NIMEKAA NASUBIRI MAPOVU YENU.
Yusufu alijua kabisa mimba sio yake. Na kumbuka Mariam alikuwa bikira na yusufu labda alizani kuwa amecheat ndo maana alitaka kumuacha.
Yusufu alikuwa anajua kabisa.
Uwe unasoma Bible vizuri kaka.
 
Yani wewe unamke umemuoa afu mkeo anzaa mtoto mweupe wakati wewe kwenu ni weusi na mkeo weusi afu mnasema kitanda akizai haramu
 
Kama Mungu alimkataza YUSUFU,hata wewe MUNGU ANAKUKATAZA KUKIMBIA.
Hakukatazwa bali aliambiwa, hivyo ni vitu viwili tofauti.

Alafu kwa mujibu wa maandiko ni kuwa Maria alimpata Yesu bila kulala na mwanaume. Tofauti na.hawa wa kwetu wanaolala na wanaume hadi wanashindwa kujua baba wa mtoto ni nani. Hapo unatakiwa ukimbie mbio za Yusufu kaka wa Benjamini mtoto wa Yakobo.
 
Back
Top Bottom