Inavyoelekea wewe NI mtafiti mzuri saana.haya njoo na matokeo ya utafiti wako hapa kuhusu singo mama.WEWE NI BOGAZ
Baada ya Maria kupata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu, Yusuf mwenyewe alitaka kumwacha Maria kwa siri kwa sababu hakutak kuoa single mother hadi malaika wa Mungu akaingilia kati ndio Yusuf akawa mpole tu...
Sijafanya dhihaka Ila nawakumbusha watu waache waache kusema vibaya.Mungu hapendi kuachana.Hii ni DHIHAKA au Uko serious?unajua dhambi ya kumdhihaki roho mtakatifu ni mbaya kiasi gani?watu wafanye uzinzi wapelekee mimba nyumbani halafu wewe ufananishe na kesi ya Yesu..?
Sidhani Kama anaongelea single mother ni kama anaongelea mimba za ndani ya ndoa ndio watoto wanatakiwaga wapimwe DNAWEWE NI BOGAZ
Baada ya Maria kupata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu, Yusuf mwenyewe alitaka kumwacha Maria kwa siri kwa sababu hakutak kuoa single mother hadi malaika wa Mungu akaingilia kati ndio Yusuf akawa mpole tu.
99.9999% ya single mothers wana mlengo yao ya muda mfupi na lengo kubwa likiwa kulea watoto wao wakue, so ukishamkuzia na mtoto akawaza kutafuta na kumlisha mama yake basi, lengo la single mother linakua limetimia kwako.
Single mother akiwa na mtoto wa kike ni tabu tupu, kuna jamaa alileta uzi humu alisingiziwa na mkewe amembaka mtoto wa single mother wake jamaa akaswekwa ndani. Single mama akiwa na mtoto wa kiume, huyo mtoto akianza kupata akili hawezi kukupenda kabisa kwa sababu unamla mama yake.
Furaha ya mwanamke bi watoto wake single mother hawezi kumsahau mwanaume aliyempa furaha ya mtoto wake wa kwanza, unless awe amekufa. Nyuzi za ushahidi zipo humu.
Oa mwanamke fresh na usiwe na mpango wa kutengana nae unless aharibu mwenyewe
Wasichokijua hata huyo Yesu kuanzia kuzaliwa hadi kupaa kwakwe, watu walikaa wakasuka namna gan Yesu asomeke mbele za watuPoa mkuu mkeo akipata mimba isiyo yako akikwambia amepata kwa uwezo wa roho mtakatifu we mpokee tu
Hatuwezi fanana we ukiamua kuwa boya kama Joseph Ni wewe
Yaani kiufupi hakuna mwanaume anakubali kulea bao la mwenzake tena awe na ushahidi kabisa haiwezekaniWasichokijua hata huyo Yesu kuanzia kuzaliwa hadi kupaa kwakwe, watu walikaa wakasuka namna gan Yesu asomeke mbele za watu
Moja na mbili vyote ni ujinga tu. Kuna mud huwa najihisi sina roho ya kibinadam kama watu wengine. Huwa nashindwa kabisa kupata hisia za kumpenda mtoto wa mwanaume mwenzangu kama mwanangu. Kila niki imagine nashindwa kabisa, namuona kama mtoto wengine yeyote tuYaani kiufupi hakuna mwanaume anakubali kulea bao la mwenzake tena awe na ushahidi kabisa haiwezekani
Labda akukute na mtoto anaweza mlea
Yusufu alijua kabisa mimba sio yake. Na kumbuka Mariam alikuwa bikira na yusufu labda alizani kuwa amecheat ndo maana alitaka kumuacha.Kama YUSUFU alimlea YESU,
Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA.
Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu.
Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani.
Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu.
NIKO PALE NIMEKAA NASUBIRI MAPOVU YENU.
Hakukatazwa bali aliambiwa, hivyo ni vitu viwili tofauti.Kama Mungu alimkataza YUSUFU,hata wewe MUNGU ANAKUKATAZA KUKIMBIA.