Tujifunze kwa Yusufu Baba wa Yesu

Yusuph na ugumu wake alitaka alale mbele kuepuka aibu,sema malaika alimtuliza mtima.Soma maandiko vizuri.
 
Sijafanya dhihaka Ila nawakumbusha watu waache waache kusema vibaya.Mungu hapendi kuachana.
Napia hapendi uzinzi, unaacha kukemea uzinzi ambao ndio chanzo unakemea kuachana. Unamdhihaki Mungu kweli, mwanaamke mwenzangu kakupa ukweli, dhambi haitetewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…