Tujifunze: Niliuza simu na kuanzisha biashara

uliuza kilo moja ukanunua vitu vyote hivyo? kweli? bei ya sukari ni 120000 sasa wewe ulikuwa na pesa ya ziada?
 
Hongera sana Mkuu, hili ni wazo zuri. Kinachotakiwa sasa ni kuheshimu hiyo biashara na kujituma. Kuiheshimu nina maana kwamba uchunge matumizi yako ya fedha kutoka kwenye hiyo biashara, utakuja shangaa baadaye unamiliki frem, then duka. hili liwe fundisho kwa vijana anamiliki simu za shilingi yenye thamani hadi 1,500,000/= lakini anasema hana ajira !!!
 
ahsante mkuu kwa mawazo
 
Well done.
 
i appreciate your idea coz it shows me how big determination u have' wengi wetu hatuna ujasiri wa kufanya ulichokiweza tumekumbatia smartphone na vitu vya gharama tena vya kupewa huku tumejifungia chumbani tukilia na ajira akat kuna fursa kibao
 
kwel mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…