Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

A to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
Eti wanaogopa kuuliwa watakapo pata mali
 
Namba 12 nilijua ni mchaga mmoja tu mwenye makidai kumbe wako wengi.
Ninachowapendea zaidi wachaga wa kiume sio wachoyo. Wanajua kutafuta na kutumia pesa. Wajomba zangu shikamooni.
Marhabaa! Mpwa.
 
Km ww ni me,ukioa huko jiandae kuwa na michepuko nje mana hawawezi mtosheleza mwanaume kunako 6X6..
Kwa sababu mda wao mwingi hawawazi mapenzi kama makabila wengine[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moshi ni miongoni mwa miji maarufu sana wa kitalii Tanzania na Duniani kote uliopo Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Umaarufu wa Mji huu unatokana na kuingia kwa wageni kutokana na Mlima Kilimanjaro. Mji huu una kabila maarufu sana liitwalo Wachaga. Kuna Wamachame, Wakibosho na Wamarangu. Warombo nao hawajambo!

Pamoja na kwamba mm natoka Mkoa wa Bara, yafuatayo ni mambo muhimu ya kujifunza toka kwa Wachaga:-

1. Wana uzalendo mkubwa sana na Mkoa wao.

2. Wanapenda kusaidiana sana wao kwa wao. Ukioa kwao umeula.

3. Wanawake wanafanya biashara sana kuliko wanaume. Wanawake wanatembeza vitu mtaani (Machinga) kuliko wanaume.

4. Wachaga wana wivu sana wa kimaendeleo. Muda wote wao huwaza kuwa zaidi na zaidi.

5. Wachaga si wepesi wa kukata tamaa. Hata apate hasara vipi,atang'ang'ana kama kupe mpaka atatoboa.

6. Wachaga wana nidhamu sana na pesa.Siyo wepesi wa kufuja hela. Wazuri wa kutunza na kulundika hela.

7. Mchaga hakatai pesa,hata kama kidogo anachukua.Nyingine utamalizia baadae

8. Wachaga wanapenda sana kilimo cha umwagiliaji,hasa ndizi kahawa migomba na mbogamboga za majani. Na wanapenda sana kufuga nguruwe.

9. Wachaga si wepesi wa kudhulumu mtu,mpk mtofautiane sana. Ni watu ambao mkishakubaliana terms mmeshamaliza,na hata akila,hali chote.

10. Ukioa mchaga umewin. Mwanamke kila dakika anawaza pesa na ni wazuri wa kusimamia miradi.

11. Wachaga wanakula sana pombe ila kwa malengo na ni weekend

12. Wachaga wanapenda majidai sana na wana fujofujo za kujisikia (hawawafikii Wahaya)

13. Kwa mchaga hela itapatikana tu,kwa namna yoyote ile



Aikambe

Aikasa

Aikama
Asante mkuu na karibu tena Moshi! It's a big blessing to host people who appreciate others! They call the place Kilimanjaro, I call it home! big up!
 
Hata hivyo mlibebwa sana tangu mwalimu hadi kikwete. Karibu utawala wore hamjawahi kukosa Waziri mkuu. Mmetake hiyo advantage ya fursa kumiliki uchumi na kujifanya wajanja. Sasa hivi mnasema mnaonewa?? Makabila mengine mbona walikuwa hawalalamiki?
Ok now tumemuachia ngosha awabebe ili tuone kama mtaifikia Moshi..
 
You are totally weak, yani huyo dadangu ni lazima angekukata kichwa. Mwanaume wa ovyo ovyo hawezi oa mchaga hata siku moja..

Yaani wewe unaishi kulingana na opinions of others? Maisha yako yanaendeshwa kwa story za vijiweni!! Yaani hao wadau ndio wanakupangia wa kumuoa? Na ulivyo mjinga mpaka unapoishi ukakimbia kisa tu hearsay za wadau..

Rubbish!!
eh eh jiwe gizani...sasa kama mamake alijiua kisa dadake katembea na babake nifanyaje......
 
Nimeshangaa....dhulumati wakubwa ni nani hapa duniani?

Afuu bahili kinoma, na hawapendani wala! Mi ni mchaga

Wachagga wanapendana na wanasaidiana sana, Mchagga mmoja akifanikiwa lazima awabebe Wachagga wengine.
 
Mbege mbege mbege
yaap pombe ya kiasili ambayo inanyweka karibu sehemu zote tz
mbunge wa rombo miaka ya 1980's bwana ngalai aliwahi kwenda bungeni na mbege akitaka serikali iitambue kama pombe ya heshima tz
hata wazungu walikuwa wanaipenda sana enz za ukolon
 
Mkuu baba yake Mbowe ndiye aliteam na Nyerere kuwaingiza Wachaga kwenye huko kudai uhuru. Baba yake Mbowe alikuwa na ushawishi mkubwa kwa wamachame.

Kilichotokea ni kwamba baada ya Mangi Shangali wa Machame kuukosa u Paramount Chief, yaani Mangi Mkuu wa Uchagga na Mangi Marealle wa Marangu ndiye aliyeshinda, elites clan za Machame hazikukubaliana na kutawaliwa na wamarangu hasahasa Marealle ambaye pia walikuwa wakatoliki na wamachame ni walutheri. Hapo ndipo elites clan za Machame zikaamua kuungana na Mwl Nyerere wakati tayari chief Marealle alishaenda nae kudai uhuru kwa Malkia.
bonge LA history
 
You are totally weak, yani huyo dadangu ni lazima angekukata kichwa. Mwanaume wa ovyo ovyo hawezi oa mchaga hata siku moja..

Yaani wewe unaishi kulingana na opinions of others? Maisha yako yanaendeshwa kwa story za vijiweni!! Yaani hao wadau ndio wanakupangia wa kumuoa? Na ulivyo mjinga mpaka unapoishi ukakimbia kisa tu hearsay za wadau..

Rubbish!!
nimemwambia dada zetu hawawz tembea na watu wanaonuka kwapa kama yy
 
Namba mbili hapo,inategemea,umempata wapi huyo sweet mangi uliyeoa,wa mjini hawa ambao hawajuhi hata Lugha yao,hamna kitu,
Namba 3 hapo,hiyo hata wanawake wa kikinga,pale njombe,wanachakarika sana,sawa sawa na wamakua wa Lindi/masasi
 
Ukijumlisha na haya yangu kweny hii picha
5accd2042d467f1cc31a9cd22fbe5b1e.jpg
alaah
 
Back
Top Bottom